Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Nimetoka mbali sana na huu mtandao, sikuambiwa na mtu nakumbuka niliikuta kwenye free mode baadae nikajiongeza nikapakua app
 
Wakati nipo Chuo walikuwa wananiita mzee wa jamiiforum mara jasusi (walinikuta nasoma thread ya story za kijasusi) ila sikuruhusu waijue ID yangu hadi leo naepuka sana napenda kuwa anonymous.

Basi walikuwa wananiuliza mara kwa mara kuna inshu gani huku ,mwisho wa siku mmoja alishawishika akajiunga ID ipo humu ila sijui kama ipo active maana hajawahi kucoment chochote
 
Wengi tushakutana tushapiga mpaka biashara sina wa kumficha
 
JF nimeanza kuitumia tangu niko form 3 na sijawahi penda mtu ajue natumia huu Mtandao mpka hivi sasa
 
Mimi,mdogo wangu wa kiume na mshua najua wote ni wadau wa JF ila hakuna anaeijua ID ya mwenzie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niligundua Hilo Kuna siku tulikuwa na dogo tunaongelea mada ya Mshana Jr ya hatma za picha sijui kwenye ulimwengu wa roho, nikashangaa mshua anachekaa anasema jamaa yule anapenda sana mambo ya ulozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nikasemaaa mmmh huyu asije akawa ID yake ndio ERoni
Mdogo wako na mshua kama wako humu wamekujua
 
Tunatumia kimya kimya Mkuu

Mwaka wa 6 kwenda wa 7 Binafsi Mimi pekee ndo najua Nina account JF .

hii nimeifanya kuwa Siri ya kiwango cha juu kabisa, hata wadau wakiongelea JF nareact kama cijui ni nini ,

Mda wakucheza na keyboards JF ni pale napokua mwenyewe au katika mazingira ambayo vigumu Sana kuwa detected .
 
Nilipo kua nasoma chuo enzi hizo nilitwa ofisi ya lecture Wa philosophy, alikua anatumia jf bahati mbaya alikua ana koment Uzi WA rikiboy Sema sikubahatisha Kunasa Id yake..Toka siku Ile nilimdharau yule doctor
 
Nilipo kua nasoma chuo enzi hizo nilitwa ofisi ya lecture Wa philosophy, alikua anatumia jf bahati mbaya alikua ana koment Uzi WA rikiboy Sema sikubahatisha Kunasa Id yake..Toka siku Ile nilimdharau yule doctor
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] .. mimi bhn nimewah ona kweny PC ya lecture wetu Hii app ya Jamii forum .. na nilion alivyo I project ukutun .. pindi linavyo anzaaa ... Nilijiuliz meng San[emoji28]
 
Mi licha ya kujaribu kuwashawish friends watumie jf hakuna aliekubali 😂😂😂
Mwaka wa 7 huu sijawahi ona mtu ana app ya jf kwa simu yake 😂😂😂

Jf shida wamiliki wake wamekaa kisiasa, hawataki kuifanya jf as social media, au sehemu ya kibiashara na fun place 😂😂
Na ndo mana natakaga niinunue jf one day nibadili kila kitu
Watu wanatumia Sana jf Sema wanatumia fake ID ili awe huru kuchangia... Hapa sio fb kuwa Kuna kutafuta marafiki au kuchat hovyo hovyo...
 
Hi mtandao Ni Siri kimatumizi.
Kuna dogo wapiga punyeto wako humu.
Kuna wamama watu wazima ambao hawana akili na wasagaji wako humu.
Wapigaji wote hata huyu wa mawese wako humu.
Kuna wazee wasio na nguvu za kiume humu utawakuta.
Unadhani Nani katika hayo makundi atajitokeza?
 
Utaelewa ni namna gani utawala unaogopwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi wengi mno ni sababu ya hofu ya kufuatiliwa na uhuru wa kutowa dukuduku.
Kwa kifupi ni sababu za kisiasa.
Poleni sana.
 
Binafsi mimi jf natumia popote pale mazingira yakiniruhusu na niwe na bando tu, jambo la msingi lazima niwe nimelog out kabla cjatoka nyumbani
 
Humu kuna watu na nusu! Kuna mtu ukimkuta kwenye uhalisia wake ama yupo kazini kwake unaweza kuogopa! Salute huku tunazinguana na matusi juu lakini laiti ukikutana nae unaweza tamani uyarudishe matusi yako mdomoni. Salute kwa Jembe ( KE ) ambalo ni Top pale zinapotua na kuruka lakini ukiwa huku unakuwa umepinda kinyama
 
Back
Top Bottom