Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ouk
Una account mbili? Hii ni ya 2011! Usiniaambie, JF ilivyokuwa ya moto wakati inaanza, hukushawishika kuifungua JF account!Sijutii kuijua jf tangu 2006
Kwanini hujapenda watu wajue kama unatumia jamiiforums mkuu?JF nimeanza kuitumia tangu niko form 3 na sijawahi penda mtu ajue natumia huu Mtandao mpka hivi sasa
Mdogo wako na mshua kama wako humu wamekujuaMimi,mdogo wangu wa kiume na mshua najua wote ni wadau wa JF ila hakuna anaeijua ID ya mwenzie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niligundua Hilo Kuna siku tulikuwa na dogo tunaongelea mada ya Mshana Jr ya hatma za picha sijui kwenye ulimwengu wa roho, nikashangaa mshua anachekaa anasema jamaa yule anapenda sana mambo ya ulozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nikasemaaa mmmh huyu asije akawa ID yake ndio ERoni
Nawasalimia 😁Mdogo wako na mshua kama wako humu wamekujua
Muhulomi hapa akija mtu pembeni yangu na switch kwenye browser ingine, kwa kifupi hakuna mtu hapa anajua natumia JF lkn ukweli ni kwamba ndo nashinda JF!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] .. mimi bhn nimewah ona kweny PC ya lecture wetu Hii app ya Jamii forum .. na nilion alivyo I project ukutun .. pindi linavyo anzaaa ... Nilijiuliz meng San[emoji28]Nilipo kua nasoma chuo enzi hizo nilitwa ofisi ya lecture Wa philosophy, alikua anatumia jf bahati mbaya alikua ana koment Uzi WA rikiboy Sema sikubahatisha Kunasa Id yake..Toka siku Ile nilimdharau yule doctor
Watu wanatumia Sana jf Sema wanatumia fake ID ili awe huru kuchangia... Hapa sio fb kuwa Kuna kutafuta marafiki au kuchat hovyo hovyo...Mi licha ya kujaribu kuwashawish friends watumie jf hakuna aliekubali 😂😂😂
Mwaka wa 7 huu sijawahi ona mtu ana app ya jf kwa simu yake 😂😂😂
Jf shida wamiliki wake wamekaa kisiasa, hawataki kuifanya jf as social media, au sehemu ya kibiashara na fun place 😂😂
Na ndo mana natakaga niinunue jf one day nibadili kila kitu
Unaweza kuta Baba yake ndio rikiboy na dogo lake ni Mpwayungu Village .Mdogo wako na mshua kama wako humu wamekujua