Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mimi JF nimejiunga 2017 ila nimekutana na dada mmoja daladala anatumia as well chuoni Mwalimu Nyerere nilikutana na Mdada mmoja na mwisho my bro so A part of those people sijawaiga kukutana na mtu anatumia JF then huu mtandao watu huwa hawapendi kujulikana wakitumia ni kuficha ficha Sana.
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Kuna uzi niliuanzisha humu miaka kadhaa nyuma. "Je unamfahamu nani humu JF nje ya JF"?Ule uzi ulifutwa na moderator maana watu walianza kufunguka
 
Hakuna mtu atakaa around me siku 3 akaacha kufahamu kuwa natumia JF, hata hapa kuna mdada tulikuja diner baada ya nusu saa akaniuliza unatumia JF baada ya kuona naperuzi nikajibu yay!

proud JF member.
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Jf akili kubwa
 
Hata Pascal Mayalla hujawahi kukutana naye
 
Pina anaogopa sana watoto wa Arusha, bou nako alikua anaenda kwake kila siku kumtafuta wazichape akawa anamkosa, ikabidi ampigie simu kumwambia yupo wapi waonane wakichafue[emoji1787][emoji1787]

Bou nako peke yake ndio hadi leo bado hajamaliza hii beef[emoji1787][emoji1787], wengine wote hawana tena noma
Majitu ya Arusha yana ushamba sana
 
Acheni ujinga jf ni siri kama siri nyingine mimi mwenyewe nkiwa kwenye usafiri wa uma siperuzi kibwege mibongo mimbea ikikujua balaa

Huu mtandao unatumiwa na watu wengi with fake ID maana ya kufake ID maana yake ni siri acheni tu mtandao huu ni siri nzito

Otherwise kwa sisi tuliopitia Cuba kuna washkaji nakutanaga nao lafudhi zao tu utawajua ni wa humuhumu hata wabishe vipi...

Mara utaskia papuchi, mara mbususu, mkuu nk
Mnaoogopa id kufahamika mnatumia app ipi inayoonyesha id? Au hamtaki kabisa ijulikane huwa mnapita huku?
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Binafisi wapo naowafahamu kuwa wanatumia jf ila sijui ID wanazotumia...
 
Back
Top Bottom