Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

i ONCE dated a woman from JF, sikumpata JF na kipindi hicho nilishajiunga na JF ila siku nimepevuka kiasi cha kujali kuficha identity yangu.

Nilikua na Account JF yenye FULL NAME yangu kama kitambulisho ya NIDA,Huyu mdada niseme tu anaonyesha alikua expert wa JF haswaa, (sikua nimejua hilo) siku katika mambo yetu story story kuna kitu tulikua tunabishana akasema tu google.

suggestion sites zikaletwa na malink kibao toka nyuzi zilizofunguliwa JF,kwakua wote tulikua tunaperuzi (nilishika simu yeye akawa ana scroll) hapo tumejilaza.

akagusa link ya JF akasema "tuingie JF" tukawa tumeingia,tukasoma soma mada yetu tulokua tunabshana nayo,baada ya hapo akaniambia mwenyewe "Nina account ya JF nipogo huku kwahyo najuaaa"

nikamuuliza Unatumia jina gani? akaaanza nchekea chekea ila akantajia tukasearch nikamuona,hakuweka profile yake wala jina lake ila ni kweli ilikua account yake.

Hapo sasa mimi nishajifanya siijui JF wala nini nikawa natafuta Upenyo sasa niende "internet cafe" nikamchungulie,maana ile smartphone ilikua n YAKE,mimi nlikua na kitochi tu.

Mambo yakawa mengi nilichelewa kwenda m search nimpekue,siku nikakumbuka,Kuja search Jina lile lile SILIPATI nakutana tu na "no user found", search search nikawa nahisi au nakosea spelling,ila wapiiiiii...nikawa ndo nishakosa chance ya kumjua yule mtoto (tukajaga break up)

nikiwa humu humu nikajaga hisi ni yeye kwa account flani ya MAKISEO Uyo mdada wakujiita makiseo aliweka profile ya mdada copy copy na mtuhumiwa wangu.

nikaanza mfatilia bana,anzisha urafiki na MAKISEO lengo langu najua ni huyo bi shost,kweli makiseo akawa rafiki hatmae mpk tukajuana kwa picha,Siku namuona OG makiseo nikasema Aaaaaaaaah (huyu sio yeye)...

ila ki ukweli Hamna member wa JF anajitaja nnje ya JF sijui n kwann?
 
Nilikuwa kwenye bus ya JMC ya dar singida, kufika Dodoma ilipanda pisi moja kali sana ikawa inaperuzi jf nikachungulia nikaona ID yake dooh sikuamini aisee!!
Hadi sasa tupo friends but hajui kama nimemjua yupo hapa jf ila naamini kwa comment hii akiiona atanifahamu .

Ila mjue tu JF kuna pis kali aisee si mchezo?

😂 usijali mama ndo mimi D wako!!!
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Kwani jamiiforum ndiyo nini na inauzwa wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani kwa simba sikutajaa? Mbna niliwatajaa pia. Km kwa Yanga alitutajia kabwilii mwenyewee, na kuna m1 had anayekulana nae namfahamu, yuko hapo Mbezi Goba.
Wewe story zako za upande mmoja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee naee, bas kuna chimbo lilipita na Tcra wakati wa pinga pinga ya....

Chimbo zipo hadi za classic, sema upewee codes uduguuuu
Story mimi mwenyewe napata nyingi tu, sidhani kama hata nyingine unajua. Kaa kwa kutulia
 
Back
Top Bottom