Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
mi hapa akija mtu pembeni yangu na switch kwenye browser ingine, kwa kifupi hakuna mtu hapa anajua natumia JF lkn ukweli ni kwamba ndo nashinda JF!!
 
siwezi kubaliii... 😀 😀 😀
Kwaninii?, umesahau wee mtu alikuja hadi PM kukuambia kuwa mie ni hivyoo? Leo unasemaa huwezi kubalii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaninii?, umesahau wee mtu alikuja hadi PM kukuambia kuwa mie ni hivyoo? Leo unasemaa huwezi kubalii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwambaa aseme mim ndo rikiboy??? wee ajiheshimuuu shindwaaa pepoooo...
 
Back
Top Bottom