min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
[emoji1787][emoji1787] cloub house kuna ma zero iq mengi na matambo ya kuishi mambele , kuna mpka kocha wa mapenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu yetu .JF inazidi kudidimia baada ya kuachia kila post ku-trend bila kujali qualities zake. Bora ilivyokuwa zamani kila jukwaa linajitegemea hivyo kama hutaki kusoma eg mambo ya uhusiano, basi huwezi kuona chochote. Kwa kifupi members ambao wanataka ku deal na serious staff hasa ya nchi yetu wanazidi kukimbia na JF inazidi kutawaliwa na vijana wanaume wenye kujadili ngono 24/7. Watu wa seroius satff wanahamia Club House na Tweeter kwa kasi sana.