Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Nilipanda gari ya Waziri fulani mwaka 2009 kwa maongezi garini,nikakuta kishikwambi chake kikidisplay Jamii forum jukwaa la Sheria.
Sikubahatika kupata ID yake kwa kweli.

Tukio la pili ni kumuona binti yangu aliyepo UDSM mwaka wa mwisho akiperuzi kwenye jukwaa la Biashara.
Mimi muhimbili nilikuta Dokta mmoja mkubwa Sana Yuko JF kwenye pc yake ..nimamuuliza Hadi I'd yake
Akanitajia ...lakini akaniambia sijawahi post chochote ...kitu ambacho ni kweli.....na akanitahadharisha kabisa kuwa makini na ushauri wa online kuhusu afya ...Kwa uhakika nenda hospitali...
 
Walikua wanabishana, wengine wanasema ni Ke, wengine wanasema ni me ila Gay, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilivyotoka palee nilichekaa km chizi, Lol
Caca saizi ndio umekua she ila kile kipindi ulikua shemale 😂😂😂
 
Mlongo vakavi vibishana ngati nene na mdala au mgosi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vangi vakajovi nene na mdala, vangi vakajovi nene na mgosi ila nna mambu ga chidalaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

So nene wa mdala or mgosi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmmh nataka mdogo wangu,tukifika huko tuhakikishe tunaenda kuwabusu wale dolphin,tuhakikishe tunapiga picha jangwani tuvae vitambaa vya kiarabu,halafu tumalizie na Burj Khalifa tukajislay queen [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio utulie bibi atupe connection ya matajiri wa visima vya mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mlongo vakavi vibishana ngati nene na mdala au mgosi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vangi vakajovi nene na mdala, vangi vakajovi nene na mgosi ila nna mambu ga chidalaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Apu mlongo nga uvajovili ve ngati wa mdala au wa mgosi..!!
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Serikali imekuwa ikiwinda wale wanaikosoa na kusahau kuwawinda wale wanaliingizia taifa hasara, hii ndio sababu nikajiita The Knowledge Seeker wakati hilo sio jina la ubatizo
 
Mi licha ya kujaribu kuwashawish friends watumie jf hakuna aliekubali 😂😂😂
Mwaka wa 7 huu sijawahi ona mtu ana app ya jf kwa simu yake 😂😂😂

Jf shida wamiliki wake wamekaa kisiasa, hawataki kuifanya jf as social media, au sehemu ya kibiashara na fun place 😂😂
Na ndo mana natakaga niinunue jf one day nibadili kila kitu
Aaah!! beberuu
 
Back
Top Bottom