Kiazimaji79
Member
- Jun 20, 2023
- 51
- 71
Uwajue ili iweje unataka kuwarahishia kazi wazee wa kaunda sutiNi mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao h
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Hapana mkuu. Mimi mwenyewe nawaogopaUwajue ili iweje unataka kuwarahishia kazi wazee wa kaunda suti
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1487][emoji1487]Fake ID zinasaidia sana mimi humu kuna ndugu wengi na hatujuani, kuna diwani mmoja wa CCM nilinasa ID yake ye yupo jukwaa la mahusiano tu siasa hayupo
Kwa account Nyingine?JF nimeanza kuitumia tangu niko form 3 na sijawahi penda mtu ajue natumia huu Mtandao mpka hivi sasa
Wewe Wala usimdharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maisha mafupi sana ,Uzi wa riki boy una mafogo wanaupitia ule Uzi nnaowajua na niliokutana nae ktk mizunguko ya biashara wako 3 mafogo hasaaaaa ...brooo mmoja ni Mteule kabisa aseehh...hua nacheka sana [emoji1][emoji38][emoji38][emoji38]amekua ndugu yangu kabisa manaa tushafanya sana bizness pamojaNilipo kua nasoma chuo enzi hizo nilitwa ofisi ya lecture Wa philosophy, alikua anatumia jf bahati mbaya alikua ana koment Uzi WA rikiboy Sema sikubahatisha Kunasa Id yake..Toka siku Ile nilimdharau yule doctor
[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] .. mimi bhn nimewah ona kweny PC ya lecture wetu Hii app ya Jamii forum .. na nilion alivyo I project ukutun .. pindi linavyo anzaaa ... Nilijiuliz meng San[emoji28]
[emoji1787][emoji2][emoji2][emoji1787]Unaweza kuta Baba yake ndio rikiboy na dogo lake ni Mpwayungu Village .
Exactly [emoji817][emoji817][emoji817] uko sahihi kabisaa Kuna watu wateule humu Tena ni wakubwa kwenye position nzuri mnoo nshakutana nao Mpk nkasema [emoji849]Huyu Ndo yule ..bwana weeHumu kuna watu na nusu! Kuna mtu ukimkuta kwenye uhalisia wake ama yupo kazini kwake unaweza kuogopa! Salute huku tunazinguana na matusi juu lakini laiti ukikutana nae unaweza tamani uyarudishe matusi yako mdomoni. Salute kwa Jembe ( KE ) ambalo ni Top pale zinapotua na kuruka lakini ukiwa huku unakuwa umepinda kinyama
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]Fake ID zinasaidia sana mimi humu kuna ndugu wengi na hatujuani, kuna diwani mmoja wa CCM nilinasa ID yake ye yupo jukwaa la mahusiano tu siasa hayupo
Fake ID zinasaidia sana mimi humu kuna ndugu wengi na hatujuani, kuna diwani mmoja wa CCM nilinasa ID yake ye yupo jukwaa la mahusiano tu siasa hayupo
Wengi wanatumiq JF ila hawana accountExactly [emoji817][emoji817][emoji817] uko sahihi kabisaa Kuna watu wateule humu Tena ni wakubwa kwenye position nzuri mnoo nshakutana nao Mpk nkasema [emoji849]Huyu Ndo yule ..bwana wee
Salute jf!!afu humu oya oya Sanaa wakati kazini boss anaogopwa
Humu watu wanaingia kutoa stress na kupoteza mda tu
Chief kaunda suti siku hizi hata wasabato tunavaaUwajue ili iweje unataka kuwarahishia kazi wazee wa kaunda suti
Yes hata mie nimeanza kuijua JF 2014 niliingia google kuuliza swali nikakutana na link ya JF nikafata nikawa nasoma, halafu niviguwaga mjinga zile banned za member wa humu nikajuaga ni avatar zao kumbe ni kifungoWengi wanatumiq JF ila hawana account
π€Yes hata mie nimeanza kuijua JF 2014 niliingia google kuuliza swali nikakutana na link ya JF nikafata nikawa nasoma, halafu niviguwaga mjinga zile banned za member wa humu nikajuaga ni avatar zao kumbe ni kifungo
ππππChief kaunda suti siku hizi hata wasabato tunavaa
seriously hata mimi mwenyewe sijawai kutana na mdau w mtandao huu. sijui wanakuaga wapi aiseeNi mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Ni ticha wa primary mkuu! Ni katika wale walimu wa sekondari waliorudishwa kufundisha primaryAise hivi nikuulize kitu mkuu kama umewahi kukutana na mpwayungu ni mwalimu au??