Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Niliingia ofisi fulani kwa haraka nikamkuta profesa amelog in JF ila kuniona tu akageuza monitor ya computer iangalie upande mwingine.
Tulioko humu hatutaki tujulikane kuwa tunatumia huu mtandao kwa kuwa nature ya huu mtandao ni usiri. Hivyo ukimwambia mtu yupo humu ndo kisa Cha kuanza kukufatilia na kuhusisha michango yako kadhaa na hatimaye kukufahamu.

Mimi, pia huwa nawabia watu naijua huu mtandao lakini kupitia Facebook au nasomaga tu lakini Sina akaunti lakini ukiwa mjanja lazima utaufahamu tu huu mtandao na pia kwa ujanja huohuo hutaki watu wajue kuwa unatumia JF.
 
Hahahaha JF imekua kama Bangi sio? Unaweza kukuta Waziri mmoja mpiga kelele Bungeni ndio anaongeaga ujinga humu.
 
Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…