Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #221
Kuajiriwa au kumiliki kiwanda/kampuni na kujiajiri, kipi bora?Kujiajiri kiukweli ni kuajiriwa na wateja wako!! Wateja ni wafalme!! Utalaziomika kuwasikiliza na kuteleleza wanayotaka!! Kiuhalisia ni kwamba kujiajiri ni kuajiriwa na wateja!! Wateja ndo mabosi na waajiri wako!! You are not free!!
Unahisi ni kwa nini tunafeli?Wengi tu wanajaribu na kufeli
Mi binafsi naishi sehemu ambazo sina mpango wa kuweka makazi siwezi kuanzisha biashara, nafanya kazi sehemu siipend kabisa sina mzuka kabisa bora siki ziende.Unahisi ni kwa nini tunafeli?
[emoji23][emoji23][emoji23] naona umedhamiria kuharibu huu uzi Kwa kututoa kwenye maada fikirishiHapana mkuu, nakupinga kabisa tena nakataa katakata. Watu wapo tayari kuumiza kichwa, ila ni kile kichwa kidogo [emoji1787]
Ni levo mzee , kuna levo.za kujiajiri wewe ndio unakuwa mwajiri kazi yako ni kupiga mahesabu ya profit.. licha ya wengi tumeajiriwa lakini ni wachache wenye furaha na ajira zao.Kujiajiri ni kuajiriwa na wateja!! Ni kujidanganya kudhani kuwa kujiajiri kunampa mtu uhuru wa kufanya anavyotaka!! Utafanya wanayotaka wateja!! Watakutuma uwatafutie wanayotaka!! Huna ubavu wa kuwavimbia wateja ambao kimsingi ndiyo mabosi na waajiri wako!! Ukiwakaidi wateja wanakufukuza kazi matokeo yake ni kufilisika!!
Kama nia ipo hiyo haiwezi kuwa sababu; unaweza kusema nitaajiriwa kwa miaka 5, baada ya hapo kitafuata abcMi binafsi naishi sehemu ambazo sina mpango wa kuweka makazi siwezi kuanzisha biashara, nafanya kazi sehemu siipend kabisa sina mzuka kabisa bora siki ziende.
Huu uhuru unaosema ni uvivuNi levo mzee , kuna levo.za kujiajiri wewe ndio unakuwa mwajiri kazi yako ni kupiga mahesabu ya profit.. licha ya wengi tumeajiriwa lakini ni wachache wenye furaha na ajira zao.
Uhuru unaozungumziwa katika kujiajiri ni ile kufanya maamuzi unayoyataka muda wowote , unaweza kujipa likizo muda wowote , unaweza usiende kazini ukiwa hujisikii , yaani hakuna wa kukuambia fanya hivi au fanya vile wewe ndio Boss
Aliejiajiri akitoboa ndio basi hata uwe na mshahara wa mbunge humfikii
Hata boss wa Facebook au Elon Musk hafanyi kila analotaka kisa ni bossNi levo mzee , kuna levo.za kujiajiri wewe ndio unakuwa mwajiri kazi yako ni kupiga mahesabu ya profit.. licha ya wengi tumeajiriwa lakini ni wachache wenye furaha na ajira zao.
Uhuru unaozungumziwa katika kujiajiri ni ile kufanya maamuzi unayoyataka muda wowote , unaweza kujipa likizo muda wowote , unaweza usiende kazini ukiwa hujisikii , yaani hakuna wa kukuambia fanya hivi au fanya vile wewe ndio Boss
Aliejiajiri akitoboa ndio basi hata uwe na mshahara wa mbunge humfikii
Ukitengeneza mfumo mzuri, kila kitu kitaenda vizuri ata bila wewe kuwepo.Hata boss wa Facebook au Elon Musk hafanyi kila analotaka kisa ni boss
Bongo watu wanasema kuanzisha kiwanda as if ni kitu rahisi sanaaaa,
Nurse mwenye degree, akiajiriwa analipwa 660 as take home, baada ya heslb kukata,
Mtu huyu akitumia 500k kwa ajiili yake na familia yake, anasave 160 kwa mwaka ni kama 2M hiv, kwa miaka 10 ni 20M + riba tufanye 30M,
Sasa hio hela utaanzisha kiwanda gani?
Elon anaweza akafanya analotaka ili mradi haliingiliani na sera za kampuni yake na kuvunja sheria za nchi ,Elon ana uhuru hata wa kuacha kazi akalala tu hela zinaingia.Hata boss wa Facebook au Elon Musk hafanyi kila analotaka kisa ni boss
Jina lako lina sadifu comment yako,Chanzo cha viwanda vingi kwa wenzetu ni viongozi wao kuwa na mipango ya muda mrefu. Sisi viongozi wanawaza kuiba hela na kuiba kura.
Ukiona mtz ana kiwanda, historia yake huwa haijanyooka, kuna konakona nyingi pamoja na connection π€£
Kuacha kazi na kuendelea kupata fedha, nadhani unazungumzia kitu tofauti kabisa na kujiajiri.Elon anaweza akafanya analotaka ili mradi haliingiliani na sera za kampuni yake na kuvunja sheria za nchi ,Elon ana uhuru hata wa kuacha kazi akalala tu hela zinaingia.
Hebu tuongee levo za chini za waliojiajiri
ππ Vijana mmekosa ajira mnaishia kujifariji kujiita wafanya biashara...Nilijua lazima cheap labour waje kwa kishindo; kujiajiri ni zaidi ya kupata pesa tu; ndio maana nasema inawezekana namna tunavyowaza inaweza kusababishwa na namna tulivyozaliwa au elimu tunazozipata duniani ndio zinazotuathiri.
Upewe ulinzi bwana wewe maana sidhani kama hata mtaro wa maji unaweza kuuona huko barabarani kwa hizi akili kubwa ulizonazo.[emoji23][emoji2] Vijana mmekosa ajira mnaishia kujifariji kujiita wafanya biashara...
Nyie ni machinga tu mnao bangaiza maisha mpate pesa ya kula na kulipa kodi vyumba vya uani...
Watu wameajiriwa wanakula mishahara take home sio chini ya Million 1 na ana uhakika wa kupata Allowances kila wiki...
Wakati wew uliyekaa hapo umefungua kibanda cha kuuza juice urembo chupi na biscuits faida kwa mwezi haifiki Laki 1 [emoji23][emoji23]
VIJANA MSIDANGANYIKE HII TZ MTU ANAYEFAIDI MAISHA BILA STRESS NI MUAJIRIWA TENA WA SERIKALINI...
Anaenda kazin siku 5 kwa wiki, ana uhakika wa mshahara umeme uwake ukatike, jua au mvua inyeshe, hana hofu ya kufukuzwa kazi, anaenda likizo kila mwaka, akiumwa anapewa ruhusa bila kipingamizi, akifiwa hata na jirani haendi kazin...
Hivi hamjiulizi kwanini viongoz wengi wana ng'ang'ania madarakani..?[emoji23][emoji2]
Nasikia chadema wameandaa maandamano [emoji23][emoji2] watakao enda ni nyie vijana mnajiita wafanya biashara kwasabab hamna uhakika wa kula na kuishi kesho...
UKWELI MCHUNGU [emoji23][emoji2][emoji120]
Kwahio pointi yako ni ipi mkuu , Moja ya sababu kubwa ya mataifa ya Afrika kutokuendelea ni kutokuwa na mawazo ya kujiajiri zaidi ya kuajiriwa , hali hii inafanya Sekta binafsi kutokukua na kusababishia serikali kuwa na mzigo mkubwa wa kuajiri watu.Kuacha kazi na kuendelea kupata fedha, nadhani unazungumzia kitu tofauti kabisa na kujiajiri.
Unachozungumzia wewe ni wealth portfolio ya mtu mmoja mmoja, Elon musk, Mark, Tim cok au Ma CEO au wafanyakazi wa kampuni kubwa, si tu wanakuwa ni Wafanyakazi wa ngazi ya C.E.O, pia wengine ni founders au share holders. Kwa hiyo hata wakiacha kazi wataendelea kupata dividends za faida.
Kuwa na hisa ni jambo ambalo hata muajiriwa wa kawaida anaweza kulifanya, na makampuni mengi Marekani huwa Wafanyakazi wana option ya kununua hisa
Watu wangapi wanaojiajiri kampuni zao hufika huko?
Hao wote hapo juu kitu wasiokuwa nacho ni uvivu wala desire ya kula bila jasho
Si kosa lako, bali inawezekana elimu tulioipata ndio inatengeneza watu wenye fikra kama zakoππ Vijana mmekosa ajira mnaishia kujifariji kujiita wafanya biashara...
Nyie ni machinga tu mnao bangaiza maisha mpate pesa ya kula na kulipa kodi vyumba vya uani...
Watu wameajiriwa wanakula mishahara take home sio chini ya Million 1 na ana uhakika wa kupata Allowances kila wiki...
Wakati wew uliyekaa hapo umefungua kibanda cha kuuza juice urembo chupi na biscuits faida kwa mwezi haifiki Laki 1 ππ
VIJANA MSIDANGANYIKE HII TZ MTU ANAYEFAIDI MAISHA BILA STRESS NI MUAJIRIWA TENA WA SERIKALINI...
Anaenda kazin siku 5 kwa wiki, ana uhakika wa mshahara umeme uwake ukatike, jua au mvua inyeshe, hana hofu ya kufukuzwa kazi, anaenda likizo kila mwaka, akiumwa anapewa ruhusa bila kipingamizi, akifiwa hata na jirani haendi kazin...
Hivi hamjiulizi kwanini viongoz wengi wana ng'ang'ania madarakani..?ππ
Nasikia chadema wameandaa maandamano ππ watakao enda ni nyie vijana mnajiita wafanya biashara kwasabab hamna uhakika wa kula na kuishi kesho...
UKWELI MCHUNGU πππ