Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

Kujiajiri kiukweli ni kuajiriwa na wateja wako!! Wateja ni wafalme!! Utalaziomika kuwasikiliza na kuteleleza wanayotaka!! Kiuhalisia ni kwamba kujiajiri ni kuajiriwa na wateja!! Wateja ndo mabosi na waajiri wako!! You are not free!!
Kuajiriwa au kumiliki kiwanda/kampuni na kujiajiri, kipi bora?
 
Kujiajiri ni kuajiriwa na wateja!! Ni kujidanganya kudhani kuwa kujiajiri kunampa mtu uhuru wa kufanya anavyotaka!! Utafanya wanayotaka wateja!! Watakutuma uwatafutie wanayotaka!! Huna ubavu wa kuwavimbia wateja ambao kimsingi ndiyo mabosi na waajiri wako!! Ukiwakaidi wateja wanakufukuza kazi matokeo yake ni kufilisika!!
 
Ajiriwa na serikali, sector binafsi inayoeleweka na sehemu zingine, lakini haya mambo ya kuajiriwa na mtu mmoja mmoja ni changamoto sana.

Hivi mimi na miaka yangu hii 35 ni wa kuchinja vifaranga vya kuku kweli! na kuambiwa hivyo inabidi viuzwe!!!..... Kubabakee!!!

Acha nikomae nitoke hapa la sivyo nitazidi kudhalilika mtu mzima!
 
Kujiajiri ni kuajiriwa na wateja!! Ni kujidanganya kudhani kuwa kujiajiri kunampa mtu uhuru wa kufanya anavyotaka!! Utafanya wanayotaka wateja!! Watakutuma uwatafutie wanayotaka!! Huna ubavu wa kuwavimbia wateja ambao kimsingi ndiyo mabosi na waajiri wako!! Ukiwakaidi wateja wanakufukuza kazi matokeo yake ni kufilisika!!
Ni levo mzee , kuna levo.za kujiajiri wewe ndio unakuwa mwajiri kazi yako ni kupiga mahesabu ya profit.. licha ya wengi tumeajiriwa lakini ni wachache wenye furaha na ajira zao.
Uhuru unaozungumziwa katika kujiajiri ni ile kufanya maamuzi unayoyataka muda wowote , unaweza kujipa likizo muda wowote , unaweza usiende kazini ukiwa hujisikii , yaani hakuna wa kukuambia fanya hivi au fanya vile wewe ndio Boss
Aliejiajiri akitoboa ndio basi hata uwe na mshahara wa mbunge humfikii
 
Mi binafsi naishi sehemu ambazo sina mpango wa kuweka makazi siwezi kuanzisha biashara, nafanya kazi sehemu siipend kabisa sina mzuka kabisa bora siki ziende.
Kama nia ipo hiyo haiwezi kuwa sababu; unaweza kusema nitaajiriwa kwa miaka 5, baada ya hapo kitafuata abc
 
Ni levo mzee , kuna levo.za kujiajiri wewe ndio unakuwa mwajiri kazi yako ni kupiga mahesabu ya profit.. licha ya wengi tumeajiriwa lakini ni wachache wenye furaha na ajira zao.
Uhuru unaozungumziwa katika kujiajiri ni ile kufanya maamuzi unayoyataka muda wowote , unaweza kujipa likizo muda wowote , unaweza usiende kazini ukiwa hujisikii , yaani hakuna wa kukuambia fanya hivi au fanya vile wewe ndio Boss
Aliejiajiri akitoboa ndio basi hata uwe na mshahara wa mbunge humfikii
Huu uhuru unaosema ni uvivu
 
Hata boss wa Facebook au Elon Musk hafanyi kila analotaka kisa ni boss
 
Bongo watu wanasema kuanzisha kiwanda as if ni kitu rahisi sanaaaa,
Nurse mwenye degree, akiajiriwa analipwa 660 as take home, baada ya heslb kukata,
Mtu huyu akitumia 500k kwa ajiili yake na familia yake, anasave 160 kwa mwaka ni kama 2M hiv, kwa miaka 10 ni 20M + riba tufanye 30M,

Sasa hio hela utaanzisha kiwanda gani?
 
Kiwanda kidogo cha kutengeneza mfano samani (furniture), majiko ya kuchomea nyama, nguo, kusindika karanga n.k, kutengeneza viatu, mikoba, kutengeneza pipi n,k inaweza kugharimu kiasi gani?​
 
Hata boss wa Facebook au Elon Musk hafanyi kila analotaka kisa ni boss
Elon anaweza akafanya analotaka ili mradi haliingiliani na sera za kampuni yake na kuvunja sheria za nchi ,Elon ana uhuru hata wa kuacha kazi akalala tu hela zinaingia.
Hebu tuongee levo za chini za waliojiajiri
 
Chanzo cha viwanda vingi kwa wenzetu ni viongozi wao kuwa na mipango ya muda mrefu. Sisi viongozi wanawaza kuiba hela na kuiba kura.

Ukiona mtz ana kiwanda, historia yake huwa haijanyooka, kuna konakona nyingi pamoja na connection 🤣
Jina lako lina sadifu comment yako,

Kwa hio wew huanzishi kiwanda kwa sababu ya serikali? Huanzishi kiwanda cha sukari kwa sababu ya serikali?
 
Elon anaweza akafanya analotaka ili mradi haliingiliani na sera za kampuni yake na kuvunja sheria za nchi ,Elon ana uhuru hata wa kuacha kazi akalala tu hela zinaingia.
Hebu tuongee levo za chini za waliojiajiri
Kuacha kazi na kuendelea kupata fedha, nadhani unazungumzia kitu tofauti kabisa na kujiajiri.

Unachozungumzia wewe ni wealth portfolio ya mtu mmoja mmoja, Elon musk, Mark, Tim cok au Ma CEO au wafanyakazi wa kampuni kubwa, si tu wanakuwa ni Wafanyakazi wa ngazi ya C.E.O, pia wengine ni founders au share holders. Kwa hiyo hata wakiacha kazi wataendelea kupata dividends za faida.

Kuwa na hisa ni jambo ambalo hata muajiriwa wa kawaida anaweza kulifanya, na makampuni mengi Marekani huwa Wafanyakazi wana option ya kununua hisa

Watu wangapi wanaojiajiri kampuni zao hufika huko?

Hao wote hapo juu kitu wasiokuwa nacho ni uvivu wala desire ya kula bila jasho
 
Nilijua lazima cheap labour waje kwa kishindo; kujiajiri ni zaidi ya kupata pesa tu; ndio maana nasema inawezekana namna tunavyowaza inaweza kusababishwa na namna tulivyozaliwa au elimu tunazozipata duniani ndio zinazotuathiri.
😂😃 Vijana mmekosa ajira mnaishia kujifariji kujiita wafanya biashara...
Nyie ni machinga tu mnao bangaiza maisha mpate pesa ya kula na kulipa kodi vyumba vya uani...
Watu wameajiriwa wanakula mishahara take home sio chini ya Million 1 na ana uhakika wa kupata Allowances kila wiki...
Wakati wew uliyekaa hapo umefungua kibanda cha kuuza juice urembo chupi na biscuits faida kwa mwezi haifiki Laki 1 😂😂
VIJANA MSIDANGANYIKE HII TZ MTU ANAYEFAIDI MAISHA BILA STRESS NI MUAJIRIWA TENA WA SERIKALINI...
Anaenda kazin siku 5 kwa wiki, ana uhakika wa mshahara umeme uwake ukatike, jua au mvua inyeshe, hana hofu ya kufukuzwa kazi, anaenda likizo kila mwaka, akiumwa anapewa ruhusa bila kipingamizi, akifiwa hata na jirani haendi kazin...
Hivi hamjiulizi kwanini viongoz wengi wana ng'ang'ania madarakani..?😂😃
Nasikia chadema wameandaa maandamano 😂😃 watakao enda ni nyie vijana mnajiita wafanya biashara kwasabab hamna uhakika wa kula na kuishi kesho...
UKWELI MCHUNGU 😂😃🙏
 
[emoji23][emoji2] Vijana mmekosa ajira mnaishia kujifariji kujiita wafanya biashara...
Nyie ni machinga tu mnao bangaiza maisha mpate pesa ya kula na kulipa kodi vyumba vya uani...
Watu wameajiriwa wanakula mishahara take home sio chini ya Million 1 na ana uhakika wa kupata Allowances kila wiki...
Wakati wew uliyekaa hapo umefungua kibanda cha kuuza juice urembo chupi na biscuits faida kwa mwezi haifiki Laki 1 [emoji23][emoji23]
VIJANA MSIDANGANYIKE HII TZ MTU ANAYEFAIDI MAISHA BILA STRESS NI MUAJIRIWA TENA WA SERIKALINI...
Anaenda kazin siku 5 kwa wiki, ana uhakika wa mshahara umeme uwake ukatike, jua au mvua inyeshe, hana hofu ya kufukuzwa kazi, anaenda likizo kila mwaka, akiumwa anapewa ruhusa bila kipingamizi, akifiwa hata na jirani haendi kazin...
Hivi hamjiulizi kwanini viongoz wengi wana ng'ang'ania madarakani..?[emoji23][emoji2]
Nasikia chadema wameandaa maandamano [emoji23][emoji2] watakao enda ni nyie vijana mnajiita wafanya biashara kwasabab hamna uhakika wa kula na kuishi kesho...
UKWELI MCHUNGU [emoji23][emoji2][emoji120]
Upewe ulinzi bwana wewe maana sidhani kama hata mtaro wa maji unaweza kuuona huko barabarani kwa hizi akili kubwa ulizonazo.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kuacha kazi na kuendelea kupata fedha, nadhani unazungumzia kitu tofauti kabisa na kujiajiri.

Unachozungumzia wewe ni wealth portfolio ya mtu mmoja mmoja, Elon musk, Mark, Tim cok au Ma CEO au wafanyakazi wa kampuni kubwa, si tu wanakuwa ni Wafanyakazi wa ngazi ya C.E.O, pia wengine ni founders au share holders. Kwa hiyo hata wakiacha kazi wataendelea kupata dividends za faida.

Kuwa na hisa ni jambo ambalo hata muajiriwa wa kawaida anaweza kulifanya, na makampuni mengi Marekani huwa Wafanyakazi wana option ya kununua hisa

Watu wangapi wanaojiajiri kampuni zao hufika huko?

Hao wote hapo juu kitu wasiokuwa nacho ni uvivu wala desire ya kula bila jasho
Kwahio pointi yako ni ipi mkuu , Moja ya sababu kubwa ya mataifa ya Afrika kutokuendelea ni kutokuwa na mawazo ya kujiajiri zaidi ya kuajiriwa , hali hii inafanya Sekta binafsi kutokukua na kusababishia serikali kuwa na mzigo mkubwa wa kuajiri watu.
Ni asilimia ndogo ya walioajiriwa wakaacha ajira zao na kujiajiri hapa bongo , lakini hebu nenda nchi kama Marekani na mataifa mengine yalioendelea , nchi inapiga hatua kutokana na uwiano kati ya sekta binafsi na Asasi za kiserikali.
Ajira inaweza kuwa chaguo sahihi kwa nchi zilizoendelea lakini kwa nchi kama yetu ambayo inajitafuta ni vizuri kuhamasisha zaidi vijana kuwa na mawazo ya kujiajiri kuliko kuajiriwa , Hii itaongeza ubunifu wa kifursa na faida haipo kwa mtu binafsi tu ni kwa taifa nzima.

Muajiriwa unafanya kazi kwa ajili ya pesa na Mwajiri anaacha pesa imfanyie kazi , ki ufupi ni kwamba mwajiriwa ni mtumwa wa pesa.
Wenye uwezo wa kuniajiri na wajiajiri na wapewe hamasa stahiki na wasio na uwezo wa kujiajiri waajiriwe na wapewe hamasa stahiki ya kupiga kazi.
 
😂😃 Vijana mmekosa ajira mnaishia kujifariji kujiita wafanya biashara...
Nyie ni machinga tu mnao bangaiza maisha mpate pesa ya kula na kulipa kodi vyumba vya uani...
Watu wameajiriwa wanakula mishahara take home sio chini ya Million 1 na ana uhakika wa kupata Allowances kila wiki...
Wakati wew uliyekaa hapo umefungua kibanda cha kuuza juice urembo chupi na biscuits faida kwa mwezi haifiki Laki 1 😂😂
VIJANA MSIDANGANYIKE HII TZ MTU ANAYEFAIDI MAISHA BILA STRESS NI MUAJIRIWA TENA WA SERIKALINI...
Anaenda kazin siku 5 kwa wiki, ana uhakika wa mshahara umeme uwake ukatike, jua au mvua inyeshe, hana hofu ya kufukuzwa kazi, anaenda likizo kila mwaka, akiumwa anapewa ruhusa bila kipingamizi, akifiwa hata na jirani haendi kazin...
Hivi hamjiulizi kwanini viongoz wengi wana ng'ang'ania madarakani..?😂😃
Nasikia chadema wameandaa maandamano 😂😃 watakao enda ni nyie vijana mnajiita wafanya biashara kwasabab hamna uhakika wa kula na kuishi kesho...
UKWELI MCHUNGU 😂😃🙏
Si kosa lako, bali inawezekana elimu tulioipata ndio inatengeneza watu wenye fikra kama zako
 
Back
Top Bottom