Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

Kwa hoja yako hii, inathibitisha mazingira tunayoyaishi ndio yanayotuathiri
 
Uko sahihi, mfano; watoto waliotoka kwenye familia zenye viwanda, huwa hawaajiriwi, wataenda nje watapata elimu, na baadaye wanakuja kusimamia viwanda vilivyoanzishwa na watangulizi wao.
Hawaajiriwi au wanaajiriwa kwenye viwanda vyao au biashara zao? Biashara ikiwa kubwa na professionally run hata mmiliki unakuwa mwajiriwa wa biashara yako.
 
Ratiba ya watumishi wa Tz
Kuingia kazini 8:00-9:00
Breakfast 8:30-10:00
Lunch. 1300-check if the boss is present, if not, go home
Kwa yule mwenye viashiria vya kuona mbali, kwa mazingira hayo, kwake ni rahisi kujiajiri kwa sababu anapata muda wa kufanya mambo yake katika ajira mpya ya kujiajiri
 
Mshahara ni sumu anayopewa mtu asahau ndoto zake
 
Population ya waliojiariji ni 2/10 wanaotoboa

Tofauti na watumishi 6/10 wanaotoboa


MTumishi anaoption ya kufanya biashara,kukopa kirahisi huku mfanyabiasha anaoption moja tu biashara na kupata mkopo lazma biashara iwe imara

Japo mfanyabiashara free will yake ni kubwa kuliko mtumishi...

N:B..kuhusu kutake risk bussnesman🙌🙌🙌🙌
 
Kitu ambacho hujui... Hata wewe uliye jiajiri ni mtumwa KWa mteja wako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…