Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #101
Kwa hoja yako hii, inathibitisha mazingira tunayoyaishi ndio yanayotuathiriMkuu Equation,
Sidhani kama upo uhusiano wa mtu kupendwa kuajiriwa sababu tu ni nature au vinywaji.
Kitu kikubwa mkuu wengi hatupendi kutoka katika “Comfort zone”
Kutoka katika hali ya kustarehe au sehemu tuliyoizoea huwa ni mtiti sana, ndio maana kuna kuwa hakuna mabadiliko.
Huenda inasabishwa na kuogopa sehemu nyingine,
Kupenda kuajiriwa by nature nafikkri ni mazingira ya mtoto anapokulia na nini anCholishwa akilini mwake tangu udogo mpaka ukubwa wake.
Familia nyingi watoto wazazi waliokulia katika biashara lazima wataangukia humo, kadhalika mtoto atakayekulia kumuona baba ni mjeshi, mama ni mjeshi kuna asilimia kubwa mtoto akaangukia humo japo si wote.