Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
😂😂 we ni mwalimu!?Ki vipi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 we ni mwalimu!?Ki vipi mkuu?
Maneno meeeeeeeeeengi,una kiwanda?Elimu biashara
Kwanza hakuna sehemu yeyote Duniani ambako kila mtu anaweza kujiajiri,Ili uzalishaji afanye nani Sasa?Tunaamini elimu tunayoipata huko vyuoni na mashuleni, inatupa uhuru wa kufanya maamuzi sahihi katika uzalishaji mali pamoja na kujitegemea.
Tulitegemea ujuzi na elimu ulioipata huko duniani n.k iwe chachu ya wewe kujijenga na kuanzisha na kumiliki kampuni, taasisi, au kiwanda ili pia iweze kutoa ajira kwa wengine.
Mtaji kwako sio tatizo, kwa sababu umeshaajiriwa kwa miaka mingi na una sifa zote za kukopa; Swali, kwanini unashindwa kujiajiri?
Tatizo ni nini?
Kila mtu anaweza kujiajiri ila sio Kwa wakati mmja lazima wakati unajipanga kujiajiri uajiriwe,circle ndio Iko hivyoWataalam wa uchumi waje watuambie kama inawezekana kila mtu kujiajiri, uchumi utakua sawa kweli?
Nataka kujua
Inawezekana katika kuleta hii mada nikawa nimewatoa matongo tongo watu wengine, kwa hiyo nakuwa kama nimefundisha.😂😂 we ni mwalimu!?
Excuses 😁😁Chanzo cha viwanda vingi kwa wenzetu ni viongozi wao kuwa na mipango ya muda mrefu. Sisi viongozi wanawaza kuiba hela na kuiba kura.
Ukiona mtz ana kiwanda, historia yake huwa haijanyooka, kuna konakona nyingi pamoja na connection 🤣
Watu wengi wana Illusion kwenye suala la kujiajiri na mwisho wa siku waanzisha tuvitu tudogo tudogo ambavyo sio sustainable.Kwa sisi waTz weusi hawa ni 99%
Tumia hii mada kama chachu ya kukuondoa hapo ulipoManeno meeeeeeeeeengi,una kiwanda?
Kuhamishwa halmashauri kama ofisa hivi wanakula ngapi?Wapo wanaonyakua hadi milioni 30, lakini unakuta wameajiriwa mpaka kufa.
Una kiwanda?Tumia hii mada kama chachu ya kukuondoa hapo ulipo
Inawezekana elimu na ujuzi, tunaoupata ndio inatufanya tuwaze hiviKwanza hakuna sehemu yeyote Duniani ambako kila mtu anaweza kujiajiri,Ili uzalishaji afanye nani Sasa?
Hata biashara hatuwezi kufanya wote kwa namna yeyote ile, hata tukifanya watu wengi watafeli.Kwanza hakuna sehemu yeyote Duniani ambako kila mtu anaweza kujiajiri,Ili uzalishaji afanye nani Sasa?
Ni kweli matokeo ya kujiajiri ni ya muda mrefu, na wengi tunashindwa kwa kutaka matokeo ya muda mfupiKujiajillri inahitaji Uthubutu kwa kuwa njia yake sio rahisi na matokeo yake ni ya mda mrefu.
Binadamu hatufafanani, Suala la Uthubutu sio la kila mtu, Dunia yote inafahamu hilo.
Na waliojiajiri walikuwa wanawaza hivi kweli?Hata biashara hatuwezi kufanya wote kwa namna yeyote ile, hata tukifanya watu wengi watafeli.
Walioajiriwa kupitia mishahara ,posho ndio wanaongeza mzunguko wa pesa mitaani kwa wafanyabiashara.
Biashara nyingi sana za kujiajiri nilizoziona hapa Tanzania kwetu ni za kiulanguzi na sio za uzalishaji na hazina sustainability.
Sifahamu, lakini hakuna anayehamishwa bure, na wengi wanatamani kuhamishwa hamishwa kuliko kwenda kukopa benkiKuhamishwa halmashauri kama ofisa hivi wanakula ngapi?
Unafikiri mpaka mtu kuleta mada fikirishi unajua anawaza nini 😀Una kiwanda?
Kujiajiri kiukweli ni kuajiriwa na wateja wako!! Wateja ni wafalme!! Utalaziomika kuwasikiliza na kuteleleza wanayotaka!! Kiuhalisia ni kwamba kujiajiri ni kuajiriwa na wateja!! Wateja ndo mabosi na waajiri wako!! You are not free!!Unaruhusiwa kutoa maoni yako, kwa nini hatujiajiri huku mtaji ukiwa si tatizo?
Wengi tu wanajaribu na kufeliNa waliojiajiri walikuwa wanawaza hivi kweli?