Mwaka wa majaribio magumu. Nimesave 7.8ml only UTT. Hisa za CRDB 60ml nilizonunua yajayo yanafurahisha! Mapambano makali sana

Mambo kwa ushahidi
 
Attachments

  • IMG_6067.jpeg
    IMG_6067.jpeg
    97.1 KB · Views: 6
Mambo kwa ushahidi
Sisi wengine Thomaso tusio sadiki nov 2024 mpka leo ni miaka miwili kasoro hisa tu au kuna michongo mingine? Maana ikiwa ni hisa pekee basi DSE itakuwa imeweka historia duniani hakujawahi kutokea ukuaji wa namna hii
 
Hisa na consistance ya kuendelea kuwekeza kila nipatapo hela
 
Back
Top Bottom