Mwaka wa majaribio magumu. Nimesave 7.8ml only UTT. Hisa za CRDB 60ml nilizonunua yajayo yanafurahisha! Mapambano makali sana

Sisi wengine Thomaso tusio sadiki nov 2024 mpka leo ni miaka miwili kasoro hisa tu au kuna michongo mingine? Maana ikiwa ni hisa pekee basi DSE itakuwa imeweka historia duniani hakujawahi kutokea ukuaji wa namna hii
Hisa inaonesha zinapanda mpaka 1000% so nadhan unawezekana kwa hicho kipindi mpaka leo ,,
 
Poa broo ,, wewe huwazagi kama zinaweza kushuka? 🤣
Kawaida. Wekeza kwa muda mrefu…..Stock market is very interesting, if you look back you see opportunities and if you look forward you see risks. Siogopi coz naamini nilipowekeza ni sahihi. Tukutane 2030 ambapo portifolio itakaposoma 5B 😂😂😂😂. Mungu ni mwema!
 
kama kipindi hicho naanza kuwekeza, CRDB ilikuwa 650 kwa hisa na leo ni 2820 ni ukuaji wa mara ngapi hapo. Pia hapohapo still nipo agressive kuwekeza kila nipatapo pesa. Inawezekana kabisa
 
Kawaida. Wekeza kwa muda mrefu…..Stock market is very interesting, if you look back you see opportunities and if you look forward you see risks. Siogopi coz naamini nilipowekeza ni sahihi. Tukutane 2030 ambapo portifolio itakaposoma 5B 😂😂😂😂. Mungu ni mwema!
Sawa mkuu
 
Voda itakomea 1800 hapo siioni ikienda zaidi,, Lakini M wekeza inaweza kuipa nguvu
Bado unaiona ikipanda au itashuka?
Maana wiki hii wauzaji wamemwaga sana hisa sokoni tofauti na wiki zilizopita ambazo wanunuzi walikua wamepanga foleni kubwa huku wauzaji wakishikilia.
 
Back
Top Bottom