Eeenh??Nipo 1.2b
HongeraNipo kote NMB na CRDB
Hongera Bilionea.Mambo kwa ushahidi
Malengo mazuriMdogomdogo. Mpaka 2030 mkeka utakuwa unasoma 3b
hatari sanaMambo kwa ushahidi
Sisi wengine Thomaso tusio sadiki nov 2024 mpka leo ni miaka miwili kasoro hisa tu au kuna michongo mingine? Maana ikiwa ni hisa pekee basi DSE itakuwa imeweka historia duniani hakujawahi kutokea ukuaji wa namna hiiMambo kwa ushahidi
Hisa na consistance ya kuendelea kuwekeza kila nipatapo helaSisi wengine Thomaso tusio sadiki nov 2024 mpka leo ni miaka miwili kasoro hisa tu au kuna michongo mingine? Maana ikiwa ni hisa pekee basi DSE itakuwa imeweka historia duniani hakujawahi kutokea ukuaji wa namna hii
Vipi hizi Hisa za Afriprise zinafanya vizuri? Zilianza shilingi ngapi?Hisa na consistance ya kuendelea kuwekeza kila nipatapo hela
Ahsante sana mkuu100. Ni kampuni nzuri ya kuwekeza
Hapo umewekeza ngapi,na imeongezeka ngapi?Hisa na consistance ya kuendelea kuwekeza kila nipatapo hela
Hisa ikipanda asilimia 1 kwa siku jamaa anaingiza 14 Milion 😀Mambo kwa ushahidi
Mambo kwa ushahidi
Na ikishuka....kinyume chake auHisa ikipanda asilimia 1 kwa siku jamaa anaingiza 14 Milion 😀