Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Hisa inaonesha zinapanda mpaka 1000% so nadhan unawezekana kwa hicho kipindi mpaka leo ,,Sisi wengine Thomaso tusio sadiki nov 2024 mpka leo ni miaka miwili kasoro hisa tu au kuna michongo mingine? Maana ikiwa ni hisa pekee basi DSE itakuwa imeweka historia duniani hakujawahi kutokea ukuaji wa namna hii
Poa broo ,, wewe huwazagi kama zinaweza kushuka? 🤣Around 300m
Kawaida. Wekeza kwa muda mrefu…..Stock market is very interesting, if you look back you see opportunities and if you look forward you see risks. Siogopi coz naamini nilipowekeza ni sahihi. Tukutane 2030 ambapo portifolio itakaposoma 5B 😂😂😂😂. Mungu ni mwema!Poa broo ,, wewe huwazagi kama zinaweza kushuka? 🤣
Kawaida. Wekeza kwa muda mrefu…..Stock market is very interesting, if you look back you see opportunities and if you look forward you see risks. Siogopi coz naamini nilipowekeza ni sahihi. Tukutane 2030 ambapo portifolio itakaposoma 5B 😂😂😂😂. Mungu ni mwema!Poa broo ,, wewe huwazagi kama zinaweza kushuka? 🤣
kama kipindi hicho naanza kuwekeza, CRDB ilikuwa 650 kwa hisa na leo ni 2820 ni ukuaji wa mara ngapi hapo. Pia hapohapo still nipo agressive kuwekeza kila nipatapo pesa. Inawezekana kabisaHisa inaonesha zinapanda mpaka 1000% so nadhan unawezekana kwa hicho kipindi mpaka leo ,,
Sawa mkuuKawaida. Wekeza kwa muda mrefu…..Stock market is very interesting, if you look back you see opportunities and if you look forward you see risks. Siogopi coz naamini nilipowekeza ni sahihi. Tukutane 2030 ambapo portifolio itakaposoma 5B 😂😂😂😂. Mungu ni mwema!
Hapo uhakikaAround 300m
Vipi Hisa za Voda unazionaje?Ukiwekeza kampuni sahihi, kupata utajiri ni kugusa tu
Voda itakomea 1800 hapo siioni ikienda zaidi,, Lakini M wekeza inaweza kuipa nguvuVipi Hisa za Voda unazionaje?
Ilitakiwa awe na ngapi?Me pia nimeona ni hela ndogo mnoo 🤔, 7m mwaka mzima?
Nimeona siki chache hizi ipo juuVoda ni kampuni nzuri. Ila uwe mvumilivu kwa muda mrefu…..lasivyo utachukia soko
Kivivpi mkuu?Traders wameivamia😂😂😂
Bado unaiona ikipanda au itashuka?Voda itakomea 1800 hapo siioni ikienda zaidi,, Lakini M wekeza inaweza kuipa nguvu