Kwanini? Au wanakata sana viuno kama wasambaa?Wazuri mkuu, shepu za kibantu pro utazipata kwa wanyakyusa wa Rungwe, kama weupe ndio ugonjwa wako wapo wanyaki wa Kyela.
Ukinasa kwenye penzi la mnyaki ni ngumu sana kuchomoka
Hupati package kamili ya penzi kwa mkupuo, unamegewa kidogo kidogo 😂😂 anaweza kuwa na kiburi ila adventures kibaoKwanini? Au wanakata sana viuno kama wasambaa?
Sawa mkuu,mapungufu achana nayo, tufanyeje Sasa?Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe, karibu kila mkoa una main tribe wageni hawajui sub tribes, Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wakwaya, Njombe main tribe wakinga ila kuna wawanji, n.k.
Wanyakyusa kwa haraka haraka naweza kusema ndio kabila linaloongoza kwa wasomi wengi, viongozi, watu kwenye system, n.k. Kwa Tanzania yote ya kusini ukiigawanya vipande viwili ukiondoa dsm.
Inshort wanyakyusa kwa uzoefu wangu ni watu wakarimu zaidi tena kwa vitendo na hakuna maneno ama kutangazwa ukishasaidiwa.
Nimeshakwenda ofisi flani nikiwa mgeni wa mifumo ila kuna mbaba wa kinyaki alinisaidia a to z utadhani mimi mtoto wake, nilishangaa sana.
Suala la msosi wa wanyakyusa wala si taabu, utakula vizuri tu labda wasipike ubwabwa wapike ndizi
Ni wacha Mungu hasa kwa upande wa wanawake, sehemu kama mitaa ya Nzovwe kunaitwa Nigeria sababu kuna nyomi la makanisa, wingi huu umeweza kuwafanya wanyakyusa kuwa mstari wa mbele kutoa wachungaji wengi na waimba gospel katika ngazi ya taifa.
Nikiwa mwizi kichapo kikinizidia ntakimbilia kwa wanyakyusa at least ntapata dozi ya kati kisha nipelekwe polisi, nikizubaa naweza kukatwa mapanga
Wanyakyusa wanathamini sana elimu kwa lengo mtoto aje apate ajira, Mbeya ni sehemu ya pili haoa Tanzania kwa kuwa na vyuo vingi.
MAPUNGUFU YAO...
Pamoja na hayo mapungufu yapo na hayo ni:
Rundo la ndugu.. Kwa kawaida ndugu inabidi wawe wale mliozaliwa nao na wale wa upande wa wazazi kina mjomba, shangazi, ma mdogo, ba mkubwa, n.k. Pamoja na watoto wao Ila wanyaki wamevuka, hata mjukuu wa mke wa pili wa bamdogo wa babu ni ndugu,
Ukabila - Wanyakyusa kwanza wengine msubiri, Kwenye fursa / nafasi za kazi mnyakyusa akishika madaraka ni kawaida kujaza wanyakyusa wengine, ukichanganya na kuwa na ndugu wengi ni shida hio, mlolongo ni mrefu sana.
Wanawake kujali zaidi ndugu kuliko mme, huna sauti mbele ya mwanamke linapokuja suala la ndugu zake hata awe mjukuu wa bamdogo wa babu.
Ubabe kwa wanawake, mtu anaweza kuwa na mapungufu bila yeye kujua, wengi huchanganya ubabe na msimamo, ni vitu viwili tofauti.
Ni hayo tu lakini kwa ujumla wanyakyusa wapo juu.
Wewe unataka ligi la kijinga ,wasanii ndio kipimo Cha maana umekiona?!Nitajie wasanii Wakubwa 5 wanaotoka Mbeya ukiachana na Rayvany?????
Kule Mbeya tuwaitwa "WASOKILE" na akiwa mmoja 'MSOKILE". Yaani 'alitoka". Imetokana na fact kwamba kila nyumba ukiuuliza mama yuko wapi? unajibiwa "asokile", yaani aliondoka. Hawa viumbe hawakai na wanaume!! Vile unamuona GIGI Money ambaye kazaliwa Dar es Salaam na Mbeya haijui basi ndiyo viumbe hawa walivyo. wanyakyusa wengine ni kama Anti Ezekiel na Amber Lulu, wao ni kuhangaisha papa toka kwa mwanaume huyu kwenda kwa mwingine.Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe, karibu kila mkoa una main tribe wageni hawajui sub tribes, Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wakwaya, Njombe main tribe wakinga ila kuna wawanji, n.k.
Wanyakyusa kwa haraka haraka naweza kusema ndio kabila linaloongoza kwa wasomi wengi, viongozi, watu kwenye system, n.k. Kwa Tanzania yote ya kusini ukiigawanya vipande viwili ukiondoa dsm.
Inshort wanyakyusa kwa uzoefu wangu ni watu wakarimu zaidi tena kwa vitendo na hakuna maneno ama kutangazwa ukishasaidiwa.
Nimeshakwenda ofisi flani nikiwa mgeni wa mifumo ila kuna mbaba wa kinyaki alinisaidia a to z utadhani mimi mtoto wake, nilishangaa sana.
Suala la msosi wa wanyakyusa wala si taabu, utakula vizuri tu labda wasipike ubwabwa wapike ndizi
Ni wacha Mungu hasa kwa upande wa wanawake, sehemu kama mitaa ya Nzovwe kunaitwa Nigeria sababu kuna nyomi la makanisa, wingi huu umeweza kuwafanya wanyakyusa kuwa mstari wa mbele kutoa wachungaji wengi na waimba gospel katika ngazi ya taifa.
Nikiwa mwizi kichapo kikinizidia ntakimbilia kwa wanyakyusa at least ntapata dozi ya kati kisha nipelekwe polisi, nikizubaa naweza kukatwa mapanga
Wanyakyusa wanathamini sana elimu kwa lengo mtoto aje apate ajira, Mbeya ni sehemu ya pili haoa Tanzania kwa kuwa na vyuo vingi.
MAPUNGUFU YAO...
Pamoja na hayo mapungufu yapo na hayo ni:
Rundo la ndugu.. Kwa kawaida ndugu inabidi wawe wale mliozaliwa nao na wale wa upande wa wazazi kina mjomba, shangazi, ma mdogo, ba mkubwa, n.k. Pamoja na watoto wao Ila wanyaki wamevuka, hata mjukuu wa mke wa pili wa bamdogo wa babu ni ndugu,
Ukabila - Wanyakyusa kwanza wengine msubiri, Kwenye fursa / nafasi za kazi mnyakyusa akishika madaraka ni kawaida kujaza wanyakyusa wengine, ukichanganya na kuwa na ndugu wengi ni shida hio, mlolongo ni mrefu sana.
Wanawake kujali zaidi ndugu kuliko mme, huna sauti mbele ya mwanamke linapokuja suala la ndugu zake hata awe mjukuu wa bamdogo wa babu.
Ubabe kwa wanawake, mtu anaweza kuwa na mapungufu bila yeye kujua, wengi huchanganya ubabe na msimamo, ni vitu viwili tofauti.
Ni hayo tu lakini kwa ujumla wanyakyusa wapo juu.
Kakosea, ni WabenaUmesema main tribe njombe ni wakinga!!!??
Aliyetaka ligi ya kijinga hapo ni nani kati yangu me na wewe????Wewe unataka ligi la kijinga ,wasanii ndio kipimo Cha maana umekiona?!
JE WOTE ULIOWATAJA HAPA NI WANYAKYUSA???? BACK TO THE TOPIC,, TUNA WAZUNGUMZIA WANYAKI NA MBEYA KUNA ZAIDI YA KABILA MOJA,, JE HAWA WOTE ULIOWATAJA UNATAKA KUNIAMBIA NI WANYAKYUSA??????Gospel karibu 80 percent
Legends wa bongo fleva kuna AY, MiKE TEE, Caz T, Enika.
Producers legends wa bongo fleva kuna Roy wa g-recordz na amba producer wa mkoani alieweza kutengeneza ngoma kibao zilizohit
Kuwa na wasanii ni hoja ya msingi kweli wewe ni msomi kweli!!!!Aliyetaka ligi ya kijinga hapo ni nani kati yangu me na wewe????
Wote hao wanyakiJE WOTE ULIOWATAJA HAPA NI WANYAKYUSA???? BACK TO THE TOPIC,, TUNA WAZUNGUMZIA WANYAKI NA MBEYA KUNA ZAIDI YA KABILA MOJA,, JE HAWA WOTE ULIOWATAJA UNATAKA KUNIAMBIA NI WANYAKYUSA??????
Mwanaume utamwitaje mwanaume mwenzako mbabambaba wa kinyaki
Wasukuma washamba sanaWewe utakuwa hauwajui wasukuma wewe?