MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Nilipoanza tu kusoma " wanyakyusa wanaongoza kuwa na wasomi wengi...." nikaachia hapohapo, bila shaka mwandishi ni mnyakyusa anataka kujipatia sifa zisizomstahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Main tribe unajua maana yake, wakurya unafikiri kwanini wamesikikika zaidi? Ni kwa sababu ya kupenda kazi za upolisi na jeshi, pia tabia yao ya ubabe lakini unapozungumzia main unamaanisha wingi na sio umaarufu.watu wa mikoa mingine tunawajua zaidi wakurya, ni sifa kubwa ya kuwa main tribe kwetu ambao hatujawai kufika Mara
Wanyakyusa kwa haraka haraka naweza kusema ndio kabila linaloongoza kwa wasomi wengi, viongozi, watu kwenye system, n.k. Kwa Tanzania yote ya kusini.Main tribe unajua maana yake, wakurya unafikiri kwanini wamesikikika zaidi? Ni kwa sababu ya kupenda kazi za upolisi na jeshi, pia tabia yao ya ubabe lakini unapozungumzia main unamaanisha wingi na sio umaarufu.
[emoji23][emoji23][emoji23] ni hatariKwenye elimu wazee wa kinyakyusa ni shida.. mzee wangu amelikomalia kuhakikisha kila mtu home anafika chuo Hata iweje... baada ya malengo yake kutimia tukajua mzee sasa atatulia ... Cha ajabu kaamia kwenye masters kila mtu anataka awe na masters[emoji2][emoji2]
Taja kwanza hilo kabila la watu majizi majizi halafu ndo tuendelee.Na kabila la watu majizi majizi na tamaa sana haiba yao ni ipi?
UNA UHAKIKA HAWA WOTE NI WANYAKYUSA PURE????Ambwene mwasongwe
Ambwene Yesaya AY
QUICK ...
SUGU
BAHATI BUKUKU
BONIFACE MWAITEGE
etc
Inaachaje kuwa hoja ya msingi Ikiwa wasanii ni kioo ja jamii,, watakuelimisha kupitia sanaa yao lakini pia watakuburudisha.....Kuwa na wasanii ni hoja ya msingi kweli wewe ni msomi kweli!!!!
Nimependa hyo wanawake ni wakarimu 😅😅Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe, karibu kila mkoa una main tribe wageni hawajui sub tribes, Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wajita, Njombe main tribe wakinga ila kuna wabena, n.k.
Wanyakyusa kwa haraka haraka naweza kusema ndio kabila linaloongoza kwa wasomi wengi, viongozi, watu kwenye system, n.k. Kwa Tanzania yote ya mikoa ya kusini.
Inshort wanyakyusa kwa uzoefu wangu ni watu wakarimu zaidi tena kwa vitendo na hakuna maneno ama kutangazwa ukishasaidiwa.
Nimeshakwenda ofisi flani nikiwa mgeni wa mifumo ila kuna mbaba wa kinyaki alinisaidia a to z utadhani mimi mtoto wake, nilishangaa sana.
Suala la msosi wa wanyakyusa wala si taabu, utakula vizuri tu labda wasipike ubwabwa wapike ndizi
Ni wacha Mungu hasa kwa upande wa wanawake, sehemu kama mitaa ya Nzovwe kunaitwa Nigeria sababu kuna nyomi la makanisa, wingi huu umeweza kuwafanya wanyakyusa kuwa mstari wa mbele kutoa wachungaji wengi na waimba gospel katika ngazi ya taifa.
Nikiwa mwizi kichapo kikinizidia ntakimbilia kwa wanyakyusa at least ntapata dozi ya kati kisha nipelekwe polisi, nikizubaa naweza kukatwa mapanga
Wanyakyusa wanathamini sana elimu kwa lengo mtoto aje apate ajira, Mbeya ni sehemu ya pili hapa Tanzania kwa kuwa na vyuo vingi nyuma ya Dsm. Ni Kabila la nne kwa wasomi nyuma ya wahaya, wachaga na wasukuma (kuna wasukuma milioni 10 na zaidi hata kukiwa na 1 msomi katika kila wasukuma 10 bado ni wengi)
MAPUNGUFU YAO...
Pamoja na hayo mapungufu yapo na hayo ni:
Rundo la ndugu.. Kwa kawaida ndugu inabidi wawe wale mliozaliwa nao na wale wa upande wa wazazi kina mjomba, shangazi, ma mdogo, ba mkubwa, n.k. Pamoja na watoto wao Ila wanyaki wamevuka, hata mjukuu wa mke wa pili wa bamdogo wa babu ni ndugu,
Ukabila - Wanyakyusa kwanza wengine msubiri, Kwenye fursa / nafasi za kazi mnyakyusa akishika madaraka ni kawaida kujaza wanyakyusa wengine, ukichanganya na kuwa na ndugu wengi ni shida hio, mlolongo ni mrefu sana.
Wanawake kujali zaidi ndugu kuliko mme, huna sauti mbele ya mwanamke linapokuja suala la ndugu zake hata awe mjukuu wa bamdogo wa babu.
Ubabe kwa baadhi ya wanawake ni tatizo, na hasa ukizingatia wengi wana miili yenye afya ukiwa legelege usije ukajaribu kutumia violence, utaaibika!! Wao wanataka muwe sawa na hii inaleta taabu wao kumnyenyekea mume, wao hudhani ni msimamo au kukataa kuendeshwa ila ni ubabe. Kwenye nyumba mama ndie mwenye sauti.
Wengi sio wana uwezo mdogo kusimamia biasbhara sababu ya kuingiza undugu usio na mipaka kwenye biashara, mtu ukifanikiwa kidogo tu kwenye biashara ndugu huanza kukuelemea na nilichogundua wana uoga wa kuwawajibisha ndugu kwa hofu ya kutengwa. Ndio maana wengi hupendelea ajira ambazo serikali huwalipa mshahara, Ni wazi hata ukienda Mbeya biashara zimeshikiliwa zaido na wageni hasa wakinga.
Ni hayo tu lakini kwa ujumla wanyakyusa wapo juu.
Hawa ndio washirikina wakatili na wakabila. Wauza ngozi za binadamu wenzao, watu wenye wivu mkubwa. Kila familia ina kanisa lake, hawezi kukaa pamoja hawa ni akina Mwamposa manabii wa uongo. Ulienda mbeya gani?Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe, karibu kila mkoa una main tribe wageni hawajui sub tribes, Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wajita, Njombe main tribe wakinga ila kuna wabena, n.k.
Wanyakyusa kwa haraka haraka naweza kusema ndio kabila linaloongoza kwa wasomi wengi, viongozi, watu kwenye system, n.k. Kwa Tanzania yote ya mikoa ya kusini.
Inshort wanyakyusa kwa uzoefu wangu ni watu wakarimu zaidi tena kwa vitendo na hakuna maneno ama kutangazwa ukishasaidiwa.
Nimeshakwenda ofisi flani nikiwa mgeni wa mifumo ila kuna mbaba wa kinyaki alinisaidia a to z utadhani mimi mtoto wake, nilishangaa sana.
Suala la msosi wa wanyakyusa wala si taabu, utakula vizuri tu labda wasipike ubwabwa wapike ndizi
Ni wacha Mungu hasa kwa upande wa wanawake, sehemu kama mitaa ya Nzovwe kunaitwa Nigeria sababu kuna nyomi la makanisa, wingi huu umeweza kuwafanya wanyakyusa kuwa mstari wa mbele kutoa wachungaji wengi na waimba gospel katika ngazi ya taifa.
Nikiwa mwizi kichapo kikinizidia ntakimbilia kwa wanyakyusa at least ntapata dozi ya kati kisha nipelekwe polisi, nikizubaa naweza kukatwa mapanga
Wanyakyusa wanathamini sana elimu kwa lengo mtoto aje apate ajira, Mbeya ni sehemu ya pili hapa Tanzania kwa kuwa na vyuo vingi nyuma ya Dsm. Ni Kabila la nne kwa wasomi nyuma ya wahaya, wachaga na wasukuma (kuna wasukuma milioni 10 na zaidi hata kukiwa na 1 msomi katika kila wasukuma 10 bado ni wengi)
MAPUNGUFU YAO...
Pamoja na hayo mapungufu yapo na hayo ni:
Rundo la ndugu.. Kwa kawaida ndugu inabidi wawe wale mliozaliwa nao na wale wa upande wa wazazi kina mjomba, shangazi, ma mdogo, ba mkubwa, n.k. Pamoja na watoto wao Ila wanyaki wamevuka, hata mjukuu wa mke wa pili wa bamdogo wa babu ni ndugu,
Ukabila - Wanyakyusa kwanza wengine msubiri, Kwenye fursa / nafasi za kazi mnyakyusa akishika madaraka ni kawaida kujaza wanyakyusa wengine, ukichanganya na kuwa na ndugu wengi ni shida hio, mlolongo ni mrefu sana.
Wanawake kujali zaidi ndugu kuliko mme, huna sauti mbele ya mwanamke linapokuja suala la ndugu zake hata awe mjukuu wa bamdogo wa babu.
Ubabe kwa baadhi ya wanawake ni tatizo, na hasa ukizingatia wengi wana miili yenye afya ukiwa legelege usije ukajaribu kutumia violence, utaaibika!! Wao wanataka muwe sawa na hii inaleta taabu wao kumnyenyekea mume, wao hudhani ni msimamo au kukataa kuendeshwa ila ni ubabe. Kwenye nyumba mama ndie mwenye sauti.
Wengi sio wana uwezo mdogo kusimamia biasbhara sababu ya kuingiza undugu usio na mipaka kwenye biashara, mtu ukifanikiwa kidogo tu kwenye biashara ndugu huanza kukuelemea na nilichogundua wana uoga wa kuwawajibisha ndugu kwa hofu ya kutengwa. Ndio maana wengi hupendelea ajira ambazo serikali huwalipa mshahara, Ni wazi hata ukienda Mbeya biashara zimeshikiliwa zaido na wageni hasa wakinga.
Ni hayo tu lakini kwa ujumla wanyakyusa wapo juu.
Uenda ni population strategy ingawa mimi jana nilikuwa moja ya mMfekemo Hotel nimenyimwa utamu na baridi ilikuwa Kali nikaona nimechemka Kula mbususu ya kwetu huko,ila makavira makubwa yanagawa uroda kama population strategyWanyaki wako vizuri ila wanapenda ngono utadhani Masai na mkuki. Wanagawa uroda utadhani biscuit.
Nitajie wasanii Wakubwa 5 wanaotoka Mbeya ukiachana na Rayvany????
Hii sentensi ya mwisho umeipatia kwa asilimia 100.Familia nyingi za Kinyaki utakuta ni ndugu wa mke tu wanaishi kwa mashemeji zao
Utakuta wengi wanaenda kuishi kwa dada zao wa Kinyaki walioolewa hata miaka mpaka pale watakapoweza kujitegemea ndio wanaondoka
Ila ndugu wa mwanaume akitoboa wiki ashukuru Mungu
UNA UHAKIKA HAWA WOTE NI WANYAKYUSA??Ay, sugu, gk, umber ruru, nk
Mbeya ni kubwa, huko wanakochuna ngozi ni sehemu iliyosifika kwa matukio ya ziada ya kupiga nondo watu visogoni, huko kunaitwa Mbozi na kwa sasa ni mkoa mpya wa Songwe, Wanyakyusa hawapo hukoHawa ndio washirikina wakatili na wakabila. Wauza ngozi za binadamu wenzao, watu wenye wivu mkubwa. Kila familia ina kanisa lake, hawezi kukaa pamoja hawa ni akina Mwamposa manabii wa uongo. Ulienda mbeya gani?
Wanyakyusa wañapatikana tukuyu na kyela, sio kila tukio linalotokea mbeya linahusisha wanyakyusa, kuna makabila mengi huo mkoa.Hawa ndio washirikina wakatili na wakabila. Wauza ngozi za binadamu wenzao, watu wenye wivu mkubwa. Kila familia ina kanisa lake, hawezi kukaa pamoja hawa ni akina Mwamposa manabii wa uongo. Ulienda mbeya gani?
Kweli huo mguu pyua wa kinyaki....😃😃Kwa niaba ya wanyakyusa wenzangu tunasema ndagha fijo👏🏿👏🏿😊maua tumeyapokea