Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
HahahaaAkikunyima penzi mnyakyusa nenda ukaoge. Hawajui kusema "No"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaAkikunyima penzi mnyakyusa nenda ukaoge. Hawajui kusema "No"
Wanyantuzu ni mwisho nadhani ni wasukuma tofauti sanaaKuna kabila la Wasukuma...
Hili kabila tulifungwa kamba Sana, huwezi kubali mpka ufike unyantuzuni ndio utakubali...., kwa mda mfupi tuu ila sina hamu na wale watu.
Najua ndio mnaongoza kwa kua wengi humu mtaniandama, na mlivyo wachawi mnatamani muitoe hii ID kafara.
Ukabila upo sehemu nyingi ila hawa wamezidi, Wanapenda kunyenyekewa, roho mbaya.
Potelea kote, lawama hapewi mbuzi.
Shemeji yetu Mahondaw ni wa mkoa gani mzeiya?
Kwenye elimu wazee wa kinyakyusa ni shida.. mzee wangu amelikomalia kuhakikisha kila mtu home anafika chuo Hata iweje... baada ya malengo yake kutimia tukajua mzee sasa atatulia ... Cha ajabu kaamia kwenye masters kila mtu anataka awe na masters😃😃Kwa huku mbeya kwenye suala la elimu ..hakuna mchezo
Ukitudi shule ...hata majiran wanaruhusiwa kukupa kichapo
Kumbe?Ahsante sana mkuu. Nasikia mtoa mada na yeye ni mnyakyusa
Just kidding sina uhakikaKumbe?
OkJust kidding sina uhakika
Ambwene mwasongweNitajie wasanii Wakubwa 5 wanaotoka Mbeya ukiachana na Rayvany?????
Hapa ndio changamoto kubwa ya wanawake wa KinyakiUbabe kwa baadhi ya wanawake ni tatizo
Familia nyingi za Kinyaki utakuta ni ndugu wa mke tu wanaishi kwa mashemeji zaoWanawake kujali zaidi ndugu kuliko mme, huna sauti mbele ya mwanamke linapokuja suala la ndugu zake hata awe mjukuu wa bamdogo wa babu.
Sisi ni kama ndugu hapa jf itakuwa vizuri tujuane 😃
Mara wakurya sio main tribe, kwanza wanapatikana kwa wingi wilaya ya Tarime sema wamekuwa maarufu kwa kupenda kazi ya jeshi na zile vurugu zao.Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe, karibu kila mkoa una main tribe wageni hawajui sub tribes, Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wakwaya, Njombe main tribe wakinga ila kuna wabena, n.k.
Wanyakyusa kwa haraka haraka naweza kusema ndio kabila linaloongoza kwa wasomi wengi, viongozi, watu kwenye system, n.k. Kwa Tanzania yote ya kusini ukiigawanya vipande viwili ukiondoa dsm.
Inshort wanyakyusa kwa uzoefu wangu ni watu wakarimu zaidi tena kwa vitendo na hakuna maneno ama kutangazwa ukishasaidiwa.
Nimeshakwenda ofisi flani nikiwa mgeni wa mifumo ila kuna mbaba wa kinyaki alinisaidia a to z utadhani mimi mtoto wake, nilishangaa sana.
Suala la msosi wa wanyakyusa wala si taabu, utakula vizuri tu labda wasipike ubwabwa wapike ndizi
Ni wacha Mungu hasa kwa upande wa wanawake, sehemu kama mitaa ya Nzovwe kunaitwa Nigeria sababu kuna nyomi la makanisa, wingi huu umeweza kuwafanya wanyakyusa kuwa mstari wa mbele kutoa wachungaji wengi na waimba gospel katika ngazi ya taifa.
Nikiwa mwizi kichapo kikinizidia ntakimbilia kwa wanyakyusa at least ntapata dozi ya kati kisha nipelekwe polisi, nikizubaa naweza kukatwa mapanga
Wanyakyusa wanathamini sana elimu kwa lengo mtoto aje apate ajira, Mbeya ni sehemu ya pili hapa Tanzania kwa kuwa na vyuo vingi nyuma ya Dsm. Ni Kabila la nne kwa wasomi nyuma ya wahaya, wachaga na wasukuma (kuna wasukuma milioni 10 na zaidi hata kukiwa na 1 msomi katika kila wasukuma 10 bado ni wengi)
MAPUNGUFU YAO...
Pamoja na hayo mapungufu yapo na hayo ni:
Rundo la ndugu.. Kwa kawaida ndugu inabidi wawe wale mliozaliwa nao na wale wa upande wa wazazi kina mjomba, shangazi, ma mdogo, ba mkubwa, n.k. Pamoja na watoto wao Ila wanyaki wamevuka, hata mjukuu wa mke wa pili wa bamdogo wa babu ni ndugu,
Ukabila - Wanyakyusa kwanza wengine msubiri, Kwenye fursa / nafasi za kazi mnyakyusa akishika madaraka ni kawaida kujaza wanyakyusa wengine, ukichanganya na kuwa na ndugu wengi ni shida hio, mlolongo ni mrefu sana.
Wanawake kujali zaidi ndugu kuliko mme, huna sauti mbele ya mwanamke linapokuja suala la ndugu zake hata awe mjukuu wa bamdogo wa babu.
Ubabe kwa baadhi ya wanawake ni tatizo, na hasa ukizingatia wengi wana miili yenye afya ukiwa legelege usije ukajaribu kutumia violence, utaaibika!! Wao wanataka muwe sawa na hii inaleta taabu wao kumnyenyekea mume, wao hudhani ni msimamo au kukataa kuendeshwa ila ni ubabe. Kwenye nyumba mama ndie mwenye sauti.
Wengi sio wana uwezo mdogo kusimamia biasbhara sababu ya kuingiza undugu usio na mipaka kwenye biashara, mtu ukifanikiwa kidogo tu kwenye biashara ndugu huanza kukuelemea na nilichogundua wana uoga wa kuwawajibisha ndugu kwa hofu ya kutengwa. Ndio maana wengi hupendelea ajira ambazo serikali huwalipa mshahara, Ni wazi hata ukienda Mbeya biashara zimeshikiliwa zaido na wageni hasa wakinga.
Ni hayo tu lakini kwa ujumla wanyakyusa wapo juu.
Kaolewe au kaoe wanyakyusaKwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe, karibu kila mkoa una main tribe wageni hawajui sub tribes, Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wakwaya, Njombe main tribe wakinga ila kuna wabena, n.k.
Wanyakyusa kwa haraka haraka naweza kusema ndio kabila linaloongoza kwa wasomi wengi, viongozi, watu kwenye system, n.k. Kwa Tanzania yote ya kusini ukiigawanya vipande viwili ukiondoa dsm.
Inshort wanyakyusa kwa uzoefu wangu ni watu wakarimu zaidi tena kwa vitendo na hakuna maneno ama kutangazwa ukishasaidiwa.
Nimeshakwenda ofisi flani nikiwa mgeni wa mifumo ila kuna mbaba wa kinyaki alinisaidia a to z utadhani mimi mtoto wake, nilishangaa sana.
Suala la msosi wa wanyakyusa wala si taabu, utakula vizuri tu labda wasipike ubwabwa wapike ndizi
Ni wacha Mungu hasa kwa upande wa wanawake, sehemu kama mitaa ya Nzovwe kunaitwa Nigeria sababu kuna nyomi la makanisa, wingi huu umeweza kuwafanya wanyakyusa kuwa mstari wa mbele kutoa wachungaji wengi na waimba gospel katika ngazi ya taifa.
Nikiwa mwizi kichapo kikinizidia ntakimbilia kwa wanyakyusa at least ntapata dozi ya kati kisha nipelekwe polisi, nikizubaa naweza kukatwa mapanga
Wanyakyusa wanathamini sana elimu kwa lengo mtoto aje apate ajira, Mbeya ni sehemu ya pili hapa Tanzania kwa kuwa na vyuo vingi nyuma ya Dsm. Ni Kabila la nne kwa wasomi nyuma ya wahaya, wachaga na wasukuma (kuna wasukuma milioni 10 na zaidi hata kukiwa na 1 msomi katika kila wasukuma 10 bado ni wengi)
MAPUNGUFU YAO...
Pamoja na hayo mapungufu yapo na hayo ni:
Rundo la ndugu.. Kwa kawaida ndugu inabidi wawe wale mliozaliwa nao na wale wa upande wa wazazi kina mjomba, shangazi, ma mdogo, ba mkubwa, n.k. Pamoja na watoto wao Ila wanyaki wamevuka, hata mjukuu wa mke wa pili wa bamdogo wa babu ni ndugu,
Ukabila - Wanyakyusa kwanza wengine msubiri, Kwenye fursa / nafasi za kazi mnyakyusa akishika madaraka ni kawaida kujaza wanyakyusa wengine, ukichanganya na kuwa na ndugu wengi ni shida hio, mlolongo ni mrefu sana.
Wanawake kujali zaidi ndugu kuliko mme, huna sauti mbele ya mwanamke linapokuja suala la ndugu zake hata awe mjukuu wa bamdogo wa babu.
Ubabe kwa baadhi ya wanawake ni tatizo, na hasa ukizingatia wengi wana miili yenye afya ukiwa legelege usije ukajaribu kutumia violence, utaaibika!! Wao wanataka muwe sawa na hii inaleta taabu wao kumnyenyekea mume, wao hudhani ni msimamo au kukataa kuendeshwa ila ni ubabe. Kwenye nyumba mama ndie mwenye sauti.
Wengi sio wana uwezo mdogo kusimamia biasbhara sababu ya kuingiza undugu usio na mipaka kwenye biashara, mtu ukifanikiwa kidogo tu kwenye biashara ndugu huanza kukuelemea na nilichogundua wana uoga wa kuwawajibisha ndugu kwa hofu ya kutengwa. Ndio maana wengi hupendelea ajira ambazo serikali huwalipa mshahara, Ni wazi hata ukienda Mbeya biashara zimeshikiliwa zaido na wageni hasa wakinga.
Ni hayo tu lakini kwa ujumla wanyakyusa wapo juu.
Kabila lolote lenye watu Washamba washamba "UKARIMU" ndo haiba yao,, hii ni the same kwa WASUKUMA.
Aunt ezekiel mbona ni mzaramo? Huo unyakyusa ameupata lini?Kule Mbeya tuwaitwa "WASOKILE" na akiwa mmoja 'MSOKILE". Yaani 'alitoka". Imetokana na fact kwamba kila nyumba ukiuuliza mama yuko wapi? unajibiwa "asokile", yaani aliondoka. Hawa viumbe hawakai na wanaume!! Vile unamuona GIGI Money ambaye kazaliwa Dar es Salaam na Mbeya haijui basi ndiyo viumbe hawa walivyo. wanyakyusa wengine ni kama Anti Ezekiel na Amber Lulu, wao ni kuhangaisha papa toka kwa mwanaume huyu kwenda kwa mwingine.
Akikunyima penzi mnyakyusa nenda ukaoge. Hawajui kusema "No"
Hata waume zao ambao wamesoma na kutoka nje wanao wake wa makabila mengine
watu wa mikoa nje ya Mara tunawajua zaidi wakurya, kuna makabila mengi ila hao ndio hujulikana zaidi.Mara wakurya sio main tribe, kwanza wanapatikana kwa wingi wilaya ya Tarime sema wamekuwa maarufu kwa kupenda kazi ya jeshi na zile vurugu zao.