Mwaka wa nne huu naishi Mbeya, Wanyakyusa nawapa maua yenu japo mna mapungufu machache

Wanyantuzu ni mwisho nadhani ni wasukuma tofauti sanaa
 
Kwa huku mbeya kwenye suala la elimu ..hakuna mchezo

Ukitudi shule ...hata majiran wanaruhusiwa kukupa kichapo
Kwenye elimu wazee wa kinyakyusa ni shida.. mzee wangu amelikomalia kuhakikisha kila mtu home anafika chuo Hata iweje... baada ya malengo yake kutimia tukajua mzee sasa atatulia ... Cha ajabu kaamia kwenye masters kila mtu anataka awe na mastersπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ubabe kwa baadhi ya wanawake ni tatizo
Hapa ndio changamoto kubwa ya wanawake wa Kinyaki

Hawa wamama ni wapambanaji sana hivi kwamba hawaoni shida ukiondoka yeye anajua maisha atayamudu

Hii ndio imefanya wawe na kiburi. Wengi wamebaki kuwa single maza ila wanapambama maisha yanaenda

Kwao kumnyenyekea mume ni nadra sana

Chunguza hata comments za wanawake wa Kinyaki hapa jf utagundua hilo.
 
Wanawake kujali zaidi ndugu kuliko mme, huna sauti mbele ya mwanamke linapokuja suala la ndugu zake hata awe mjukuu wa bamdogo wa babu.
Familia nyingi za Kinyaki utakuta ni ndugu wa mke tu wanaishi kwa mashemeji zao

Utakuta wengi wanaenda kuishi kwa dada zao wa Kinyaki walioolewa hata miaka mpaka pale watakapoweza kujitegemea ndio wanaondoka

Ila ndugu wa mwanaume akitoboa wiki ashukuru Mungu
 
Mara wakurya sio main tribe, kwanza wanapatikana kwa wingi wilaya ya Tarime sema wamekuwa maarufu kwa kupenda kazi ya jeshi na zile vurugu zao.
 
Kaolewe au kaoe wanyakyusa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Aunt ezekiel mbona ni mzaramo? Huo unyakyusa ameupata lini?
 
Mara wakurya sio main tribe, kwanza wanapatikana kwa wingi wilaya ya Tarime sema wamekuwa maarufu kwa kupenda kazi ya jeshi na zile vurugu zao.
watu wa mikoa nje ya Mara tunawajua zaidi wakurya, kuna makabila mengi ila hao ndio hujulikana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…