Mwaka wa nne huu naishi Mbeya, Wanyakyusa nawapa maua yenu japo mna mapungufu machache

Kwani wandali wao wapoje?? Mboba hawasikiki kabisa...wenyewe majina yao hayana mwa au na wao ni mwa mwa mwa
 
Kwani wandali wao wapoje?? Mboba hawasikiki kabisa...wenyewe majina yao hayana mwa au na wao ni mwa mwa mwa
Wapo wengine Wana hayo majina .....but most of then kama vile kina kibona, etc
 
Wazuri mkuu, shepu za kibantu pro utazipata kwa wanyakyusa wa Rungwe, kama weupe ndio ugonjwa wako wapo wanyaki wa Kyela.

Ukinasa kwenye penzi la mnyaki ni ngumu sana kuchomoka
Kwanini ni ngumu kuchomoka kwa Mnyaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…