Mama ana upiga mwingi...Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru.
Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru.
Mchambuzi uchwalaShida ya hii barabara ilikua msaada kutoka worldbank. Changamoto ikaja baada ya kesi ya watu kubomelewa makazi yao pasipo kufata sheria pamoja na fidia.
World bank wakajitoa hadi suluhu itakapofikiwa. Nasi kwa kiburi kikiongozwa na kiongozi wetu ikabidi tujenge kwa nguvu zetu kuunga unga. Matokeo ndio hadi leo unayaona, tuwe wavumilivu.
Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru, hata ile ya mwenge Morocco tunaweza panda migomba na mbogamboga katikati kuboresha lishe ambayo ni kipaumbele kwa sasa
Shida ya hii barabara ilikua msaada kutoka worldbank. Changamoto ikaja baada ya kesi ya watu kubomelewa makazi yao pasipo kufata sheria pamoja na fidia.
World bank wakajitoa hadi suluhu itakapofikiwa. Nasi kwa kiburi kikiongozwa na kiongozi wetu ikabidi tujenge kwa nguvu zetu kuunga unga. Matokeo ndio hadi leo unayaona, tuwe wavumilivu.
NA HILI NALO MKALITAZAMEWazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru, hata ile ya mwenge Morocco tunaweza panda migomba na mbogamboga katikati kuboresha lishe ambayo ni kipaumbele kwa sasa
Hichi kibibi ovyo kabisa🚮🚮NA HILI NALO MKALITAZAME
Bora umefungua macho, hii ndiyo hasara ya kujimwambafai..Shida ya hii barabara ilikua msaada kutoka worldbank. Changamoto ikaja baada ya kesi ya watu kubomelewa makazi yao pasipo kufata sheria pamoja na fidia.
World bank wakajitoa hadi suluhu itakapofikiwa. Nasi kwa kiburi kikiongozwa na kiongozi wetu ikabidi tujenge kwa nguvu zetu kuunga unga. Matokeo ndio hadi leo unayaona, tuwe wavumilivu.