Mwaka wa pili sasa barabara ya Mbezi-Kimara haijakamilika

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya Mbezi hadi Kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho.

Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru, hata ile ya mwenge Morocco tunaweza panda migomba na mbogamboga katikati kuboresha lishe ambayo ni kipaumbele kwa sasa
 
Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru.
Mama ana upiga mwingi...
 
Hata Mimi barabara hii inanishangaza mapipa Tu sijui wanampango Gani na wanapita Kila siku
 
Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru.

Demokrasia ya Uchumi ndio kipaumbele
 
Tutapata wapi hela ya kuruka huku na Kule? Hela inayotumika kuruka ndo ingefanya hizo kazi ila mwenye huo uzalendo hatunaye tena
 
Shida ya hii barabara ilikua msaada kutoka worldbank. Changamoto ikaja baada ya kesi ya watu kubomelewa makazi yao pasipo kufata sheria pamoja na fidia.

World bank wakajitoa hadi suluhu itakapofikiwa. Nasi kwa kiburi kikiongozwa na kiongozi wetu ikabidi tujenge kwa nguvu zetu kuunga unga. Matokeo ndio hadi leo unayaona, tuwe wavumilivu.
 
Mchambuzi uchwala

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru, hata ile ya mwenge Morocco tunaweza panda migomba na mbogamboga katikati kuboresha lishe ambayo ni kipaumbele kwa sasa

Barabara ya kawawa mwendo kasi unasua sua mwaka 3 huu unaenda barabara haijaisha vipande vipande mbarawa jpm alisha muondoa ni mvivu sana, mnapenda kusifia kaupiga mnazi mwingi
 
Shida ya hii barabara ilikua msaada kutoka worldbank. Changamoto ikaja baada ya kesi ya watu kubomelewa makazi yao pasipo kufata sheria pamoja na fidia.

World bank wakajitoa hadi suluhu itakapofikiwa. Nasi kwa kiburi kikiongozwa na kiongozi wetu ikabidi tujenge kwa nguvu zetu kuunga unga. Matokeo ndio hadi leo unayaona, tuwe wavumilivu.

kwa jpm ingekamilika bila world bank
 
Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru, hata ile ya mwenge Morocco tunaweza panda migomba na mbogamboga katikati kuboresha lishe ambayo ni kipaumbele kwa sasa
NA HILI NALO MKALITAZAME
 
Shida ya hii barabara ilikua msaada kutoka worldbank. Changamoto ikaja baada ya kesi ya watu kubomelewa makazi yao pasipo kufata sheria pamoja na fidia.

World bank wakajitoa hadi suluhu itakapofikiwa. Nasi kwa kiburi kikiongozwa na kiongozi wetu ikabidi tujenge kwa nguvu zetu kuunga unga. Matokeo ndio hadi leo unayaona, tuwe wavumilivu.
Bora umefungua macho, hii ndiyo hasara ya kujimwambafai..
 
Back
Top Bottom