maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya Mbezi hadi Kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho.
Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru, hata ile ya mwenge Morocco tunaweza panda migomba na mbogamboga katikati kuboresha lishe ambayo ni kipaumbele kwa sasa