Mwaka wa pili sijawasikia watu wasiojulikana

Kwa Chacha Wangwe
Ni Jiwe vilevile, prove me wrong. Hata Lissu angekufa kwenye lile shambulio mlishapanga kumbambikia mtu, luckily hakufa na anatoa ushuhuda kuanzia alivyokuwa akifuatiliwa mpaka kushambuliwa na 'kigugumizi' cha serikali kufanya upelelezi au kuomba msaada kwa vyombo vya nje vilivyobobea katika mambo ya upelelezi.

Narudia tena Chacha Wangwe ni mkono wa Jiwe otherwise wahusika wangeshakamatwa na utawala wake uliotawala kwa mkono wa chuma, hivi upelelezi wa kifo chake uliishia wapi?
 
Ulimsikia Waziri Mkuu akimwambia Afisa misitu mbadhirifu kwamba "ULIPO TUPO".....This time around ndio mantiki halisi ya wasiojulikana,manake huwasikii wala kuwaona...but ULIPO WAPO lakini hutokaa uwajue wala kuwasikia.
 
Ulimsikia Waziri Mkuu akimwambia Afisa misitu mbadhirifu kwamba "ULIPO TUPO".....This time around ndio mantiki halisi ya wasiojulikana,manake huwasikii wala kuwaona...but ULIPO WAPO lakini hutokaa uwajue wala kuwasikia.
Aisee Asante sana mkuu kwa kunijuza
 
Mbona wapo sema una madhara kwao wala kwenye taifa ili
 
Wafuasi wa jiwe na sukuma lazima mteseke
 
Mimi sina lolote Sawa.
Wewe una nini zaidi ya kukesha makaburuni unaomba na kusujudi mizimu?
 
Mimi sina lolote Sawa.
Wewe una nini zaidi ya kukesha makaburuni unaomba na kusujudi mizimu?
Jiwe limekupata,cheti feki wewe!

Majungu mitandaoni mpaka umeshindwa kutafuta kazi

Mnapotosha mpaka mnachusha nyuso,kwa masilahi ya shekeli kifogo tu!

Mko tayari kuuza vitu nyeti shauri ya kupenda kutumika bila kujitambua!

Sikiliza hiyo clip kama una bundle!
 
Kuna watu bado wanashangilia ccm ila ukijua ukweli sijui kama utakuwa unasikiliza maongezi yao pamoja na kejeli
 
1. Idi Amin
2. Abacha
3. Mobuto
4.Tylor
5.Gaddafi
6.Kamuzu
7.Bokassa
8. Pombe
9. n.k

Hiyi list inanuka damu
 
Uchawa utawatokea puani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…