Mwaka wa pili sijawasikia watu wasiojulikana

1. Idi Amin
2. Abacha
3. Mobuto
4.Tylor
5.Gaddafi
6.Kamuzu
7.Bokassa
8. Pombe
9. n.k

Hiyi list inanuka damu
Wewe mtu usiyejielewa niambie utawala WA awamu ya nne au tatu watu hawakuuawa?
 
Tunashukuru Rais Samia amewafubaza nguvu ila wapo.
 
Mwaka wa tatu sasa sijasikia samia kanunua hata ndege ya pangaboi wala sijaona hata barabara moja mpya iliyojengwa dar hata kilometa 1
 
Mwaka wa tatu sasa sijasikia samia kanunua hata ndege ya pangaboi wala sijaona hata barabara moja mpya iliyojengwa dar hata kilometa 1
Ndege zinanunuliwa kwa kodi za wananchi wala usijidanganye kuwa Jiwe alinunua ndege.
 
Hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya Jiwe kuua, kupora, kutesa, kuteka na kudhulimu watu?
Hao wengine unaweza kuwaanzishia threads na tutachangia pia.
Kwanini Jiwe alikuwa muuaji kiasi kile?
Rais gani aliyepita hajawahi kuua?na kwanini wanaua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…