Hii taarifa ni nzuri kwa upande fulani kwa mashabiki wa Yanga. Wangemfungia na mwenyekiti Msola ingekuwa fresh zaidi. Yanga haina uongozi makiniYaani anafaini ya jumla mil 7. Pamoja na kufungiwa miaka mitano
Aliambiwa baada ya Press Conference kuwa TFF wananoa Panga
Mwifwa
Huu ni ungese wa tifuatifua kwa kiwango cha lami.Kwamba Mwakalebela amefungiwa kutojiusisha na Soka Ndani Na Nje Ya Tz Kwa Zaidi ya 5yrs Kwa Makosa Ya Uchochezi na Uongo Pia anatakiwa Kuilipa Tiefufu more than 7m?? Tiefufu Wapumbavu Sana
Wao na Yanga tu kumaaaaammmmaaaaaaaaaaaeeeeeeeee zao.Genge la waguni pale TFF wakiongozwa na Msomali na Katibu wake Mrundi ifike mahali tuwarudishe kwenye nchi zao.
Sasa imetosha
VP aiangalie TFF kwa jicho la ndani zaidi.Hii TFF chini ya Nyau Fc ni utopolo kabisa
Sote tunafahamu mwaka huu kuna uchaguzi, Karia na genge lake wana hofu kuu
Wanatumia nguvu kubwa kuwafungia viongozi wa Yanga! Yule msemaji wa mbumbumbu anaropoka ujinga tu kila siku, lakini husikii amefungiwa!Hii TFF chini ya Nyau Fc ni utopolo kabisa
Sote tunafahamu mwaka huu kuna uchaguzi, Karia na genge lake wana hofu kuu
Nikweli ila kwa sasa mambo yamebadilika, sehemu anapo hudumu ni utupolo unategemea nini hapo?. Mitano tene na m.5 mambo burdain.mbona alipokuwa katibu mkuu tff Mwakalebela alikuwa ana presentation nzuri.
Siku hizi amekuwa mlevi mbwambona alipokuwa katibu mkuu tff Mwakalebela alikuwa ana presentation nzuri.