Mwakalebela: Yanga ni Tishio Barani Afrika

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
🗣“Sio siri kwa sasa Yanga ni timu tishio Afrika, mpaka sasa nimefatilia Ligi za nchi zote Afrika msimu huu Yanga ndio timu pekee Haijafingwa na sasa wapinzani wanajua wakija Kukutana na sisi hawatoki, na moto utaendelea hadi tubebe ubingwa wa Ligi Kuu.”

Ameongea Fredrick Mwakalabela,Makamu Mwenyekiti wa Yanga

My Take
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌
 
[emoji860]“Sio siri kwa sasa Yanga ni timu tishio Afrika, mpaka sasa nimefatilia Ligi za nchi zote Afrika msimu huu Yanga ndio timu pekee Haijafingwa na sasa wapinzani wanajua wakija Kukutana na sisi hawatoki, na moto utaendelea hadi tubebe ubingwa wa Ligi Kuu.”

Ameongea Fredrick Mwakalabela,Makamu Mwenyekiti wa Yanga

My Take
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji108][emoji108][emoji108]
Nilitarajia sasa hoja ijibiwe kwa watu kuleta data kwamba labda kuna timu nyingine katika ligi za Afrika nao hajafungwa, ila majibu ya hii hoja ni kama yanatokea kwenye banda la kimpumu.
 
🗣“Sio siri kwa sasa Yanga ni timu tishio Afrika, mpaka sasa nimefatilia Ligi za nchi zote Afrika msimu huu Yanga ndio timu pekee Haijafingwa na sasa wapinzani wanajua wakija Kukutana na sisi hawatoki, na moto utaendelea hadi tubebe ubingwa wa Ligi Kuu.”

Ameongea Fredrick Mwakalabela,Makamu Mwenyekiti wa Yanga

My Take
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌
Huyu jamaa nae bado yupo kwenye soka.....hiiiii....
 
Mimi nimecheka zaidi hasa nikilinganisha na zile kilo zake 800 halafu akili haijai kisoda.
 
Nilitarajia sasa hoja ijibiwe kwa watu kuleta data kwamba labda kuna timu nyingine katika ligi za Afrika nao hajafungwa, ila majibu ya hii hoja ni kama yanatokea kwenye banda la kimpumu.
Tikisa kichwa mkuu
 
🗣“Sio siri kwa sasa Yanga ni timu tishio Afrika, mpaka sasa nimefatilia Ligi za nchi zote Afrika msimu huu Yanga ndio timu pekee Haijafingwa na sasa wapinzani wanajua wakija Kukutana na sisi hawatoki, na moto utaendelea hadi tubebe ubingwa wa Ligi Kuu.”

Ameongea Fredrick Mwakalabela,Makamu Mwenyekiti wa Yanga

My Take
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌
Tishio Fc
 
Wanyakyusa hawajawahi kuwa hivi..huyu atakuwa toleo la mwsho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilitarajia sasa hoja ijibiwe kwa watu kuleta data kwamba labda kuna timu nyingine katika ligi za Afrika nao hajafungwa, ila majibu ya hii hoja ni kama yanatokea kwenye banda la kimpumu.
Analinganisha ligi za Afrika kwani Yanga anashiriki ligi yoyote ya Afrika inayoandaliwa na CAF? Huu ni ujinga na mnaoshabikia hiyo kauli mnafanana nae. Yanga alifungwa ndani na nje na Rivers iweje iogopeke Afrika?

Aseme Tanzania inaogopeka na asubiri ligi iishe ndio aropoke vinginevyo KMC leo wanaweza fanya yao.
 
Back
Top Bottom