Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Yaani hii Yanga inayocheza na Mbeya Kwanza ikawe tisho kwa ligi ya Misri yenye akina Ally Ahly, Zamalek, Al Masr nk. Huyu jamaa sijui amevimbiwa maharage ya kwao.Nilitarajia sasa hoja ijibiwe kwa watu kuleta data kwamba labda kuna timu nyingine katika ligi za Afrika nao hajafungwa, ila majibu ya hii hoja ni kama yanatokea kwenye banda la kimpumu.