Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Kuishabikia Yanga Yahitaji Kujitoa Ufahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rage nae alikuwa sahihi sana.Yupo sahihi kwa uelewa wake, yule Tetesaikline wao aliwai kunena kua hpo kwa wafugaji mwenye akili timamu ni uyo mgeni rasmi pmja na Baba yake yeye TETESAIKLINE, tofauti na hpo wooote waliosalia ni Mijohoro
Kweli kabisa waliwqpig wanaijeria nje ndani😂😂🗣“Sio siri kwa sasa Yanga ni timu tishio Afrika, mpaka sasa nimefatilia Ligi za nchi zote Afrika msimu huu Yanga ndio timu pekee Haijafingwa na sasa wapinzani wanajua wakija Kukutana na sisi hawatoki, na moto utaendelea hadi tubebe ubingwa wa Ligi Kuu.”
Ameongea Fredrick Mwakalabela,Makamu Mwenyekiti wa Yanga
My Take
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌