Mwakalebela: Yanga ni Tishio Barani Afrika

Nilitarajia sasa hoja ijibiwe kwa watu kuleta data kwamba labda kuna timu nyingine katika ligi za Afrika nao hajafungwa, ila majibu ya hii hoja ni kama yanatokea kwenye banda la kimpumu.
Yaani hii Yanga inayocheza na Mbeya Kwanza ikawe tisho kwa ligi ya Misri yenye akina Ally Ahly, Zamalek, Al Masr nk. Huyu jamaa sijui amevimbiwa maharage ya kwao.
 
Yaani hii Yanga inayocheza na Mbeya Kwanza ikawe tisho kwa ligi ya Misri yenye akina Ally Ahly, Zamalek, Al Masr nk. Huyu jamaa sijui amevimbiwa maharage ya kwao.
😁😁😁😁
 
kwahiyo ukimfunga Mwadui, mbuni, na ndanda unakua tishio Afrika.

Kila MTU ana namba yake ya kuwaza na kuyaona mambo kwa engo yake.
 
kwahiyo ukimfunga Mwadui, mbuni, na ndanda unakua tishio Afrika.

Kila MTU ana namba yake ya kuwaza na kuyaona mambo kwa engo yake.
Ana-refer walivyotoka sare na "taifa kubwa" la Somalia.Apewe heshima yake.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huenda wakabeba ubingwa bila kufungwa.... lolote linawezekana kwenye soka
 
Jezi zao zina ramani ya bara la Afrika ndio anamaanisha hiyo.
 
Yupo sahihi kwa uelewa wake, yule Tetesaikline wao aliwai kunena kua hpo kwa wafugaji mwenye akili timamu ni uyo mgeni rasmi pmja na Baba yake yeye TETESAIKLINE, tofauti na hpo wooote waliosalia ni Mijohoro
 
Kilo 900 anaongea ushuzi wake
 
Yani ni sawa wewe na familia yako mle pilau, afu uanze kujitapa kuwa nyie ni matajiri na mnakula raha kuliko familia zote mtaani.

Niongeze sauti ama imetosha.
Nilitarajia sasa hoja ijibiwe kwa watu kuleta data kwamba labda kuna timu nyingine katika ligi za Afrika nao hajafungwa, ila majibu ya hii hoja ni kama yanatokea kwenye banda la kimpumu.
 
Yani ni sawa wewe na familia yako mle pilau, afu uanze kujitapa kuwa nyie ni matajiri na mnakula raha kuliko familia zote mtaani.

Niongeze sauti ama imetosha.
Kama familia nyingine nazo zinataka kula pilau ila imeshindikana, basi hiyo familia inayokula pilau ipewe heshma yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…