imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sijui katoa wapi hiyo.Miaka zaidi ya 800 Mfalme Lalibela alichonga kanisa kwenye mwamba baada ya kuzuiwa na waislamu kwenda kuhiji Jerusalem. Utasemaje kuwa ukristu haukuwahi kuingia Ethiopia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui katoa wapi hiyo.Miaka zaidi ya 800 Mfalme Lalibela alichonga kanisa kwenye mwamba baada ya kuzuiwa na waislamu kwenda kuhiji Jerusalem. Utasemaje kuwa ukristu haukuwahi kuingia Ethiopia?
Wanatoa macho tu na mipara ngoto yaoThe only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia [emoji1098]. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".
They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.
View attachment 2365300
View attachment 2365297
Tuambiwe Marais wa Mabara mengine wslisafiri vipiThe only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".
They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.
View attachment 2365300
View attachment 2365297
Ina maana hii treatment ya kupanda bus walifanyiwa viongozi kutoka Afrika pekee huku viongozi wenzao wa mabara ya Asia, North & South America, Ulaya na Australasia wakipewa treatment tofauti...?The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".
They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.
View attachment 2365300
View attachment 2365297
Umeishaambiwa wafalme wa Hispania, Japan n.k. walipanda basi. Umeishaambiwa Rais wa ujerumani, ufaransa n.k. walipanda basi. Umeishaambiwa mawaziri wakuu wa Canada, New Zealand, Australia n.k walipanda basi. Bado unataka uthibitisho kuwa sio waafrika peke yao waliopanda basi. Hao wote kwenu ni waafrika, mzungu ni Biden peke yake.Ina maana hii treatment ya kupanda bus walifanyiwa viongozi kutoka Afrika pekee huku viongozi wenzao wa mabara ya Asia, North & South America, Ulaya na Australasia wakipewa treatment tofauti...?
Kama jibu ni NDIYO, basi hata ile sababu iliyotolewa na baadhi ya wenzetu humu kuwa hiyo ilikuwa ni sawa kwa sababu za kiusalama na kiulinzi wa convoys za viongozi wa mataifa mbalimbali zinakuwa hazina maana tena...
Na kwa maana hii, basi huyu mama wa Ethiopia anajitambua na anaijua thamani yake kama HEAD OF THE STATE kwa kukataa kubebwa kwa pamoja kwenye bus kama abiria wa kawaida tu...
hahhh na walivyorundikwa ndan ya bus kule uzunguni wanaonekana wa kawaida sana kumbe huku wanatutesa na mitozo mpakaThe only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".
They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.
View attachment 2365300
View attachment 2365297
Mnashindwa kuchagua viongozi wazuri miongoni mwenu halafu mna-deman respect kwenye non-issues kama hizi, does that respect you claim give you good leaders? does t stop your habit of stealing other people's property? Tozo...if yes then you deserve if no, better keep quite!Uingereza ilitawaliwa Marekani iltawaliwa huyu Mama kadai nafasi ya stahiki, wakati Wafalme wa Kiarabu na Kizungu na Wakiafrika wakijazwa kama Mifugo kwenye Mabasi.
Mama akasema "No! Yelem! bora nikodi Black Cab"
Kudos Sahle Work Zewde.
Yaan waafrica wengi wamenyoosha mikoni juu na ku surrender. Kwn hao marais waliokuja na misafara wao wakifa watapaa kama yesu. Ndo maana ameweka clear kuwa anatak same respect.Ana closed mind set tu huyo, hapa anavuta hewa ileile wanayovuta wengine, anakunywa maji hayahaya wanyokunywa wote, akifa anazikwa ardhini wanakozikwa wengine, anafungwa kwenye sanda ya kitambaa kama wengine, hiyo status inampa nini cha zaidi kama siyo ulimbukeni tu
Walau huko kwa wenzetu US wana military base ya kutoa snipers wanaoishi huko huko kuja kumlinda na wana magari yao ya kutega nje ya msafara. Kwa ivyo logistic zingine unaweza usizione.Wakumbushe hata alivyokuja Tanzania jinsi walivyokua wanashughulika na kusimamia suala Zima la ulinzi wa rais wao.
Kama walikuwepo na marais wa mabara mengine basi Uzi huu unakosa mntikiThread inazungumzia bara la afrika mkuu.
Hiyo misimamo imewafikisha wapi hasa? Ni historia ya kupigana wao kwa wao tu! Na hivyo imewafanya yoyote anayetawala nchi hiyo lazima awe ni dikteta! Msimamo wao wa kutotawaliwa na mataifa ya kigeni ulikuwa mzuri, hivyo wangechukua msimamo huo katika kuendeleza na kuiunganisha nchi yao. Hebu iangalie historia ya kupigana wao kwa wao! Utawapa tuzo hilo.Ethiopia ni falme pekee ambayo haikuwahi kutawaliwa na mkoloni Afrika, hao jamaa hata dini haikuingia kwao , si ukristu wala uislam.
Hata kuandika wana namna yao , hawatumii hizi alphabet ,
Kiufupi ni watu wenye misimamo tokea enzi hizo
Umemuumbua huyo 'mataga'
Hiyo ya miaka 800 siijuii , ila ethiopian are neither muslims nor christians pilgrimsMiaka zaidi ya 800 iliyopita Mfalme Lalibela alichonga kanisa kwenye mwamba baada ya kuzuiwa na waislamu kwenda kuhiji Jerusalem. Utasemaje kuwa ukristu haukuwahi kuingia Ethiopia?
Pia ndipo kwa Haile Selassie....Hii mjadala haujaisha?
Ethiopia ndio kwa akina Simon Mkirene aliyebeba msalaba wa Yesu