Rais wa Ethiopia ana hadhi kuzidi mfalme wa Spain ambaye ana damu karibu na Uingereza? Waliosoma Historia ya ulaya in deep watajua kuwa kuna uhusihanoa kati ya wafalme wote wa ulaya. Wote walipanda basi.The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".
They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.
View attachment 2365300
View attachment 2365297
Mawaziri wakuu wa Australia, New Zealand na nchi karibu zote zilizohudhuria walipanda basi hii ni kwa usalama wa viongozi. Mabasi yale yaliandaliwa na ulinzi ndani na nje ili kuwafikisha salama mwendo wa Km. kama tatu toka meeting point mpaka kwenye mabasi hayo.
Wakati Magufuri anaapishwa mwaka 2015 mabalozi wote na viongozi wa mashirika ya umoja wa mataifa, wote walipanda mabasi hii ni kwa usalama wao. Je kama ilitokea kwa magufuri ikawa sawa, iweje kwa malkia kuwa nongwa?
Nchi nyingi sasa hivi zinatumia mabasi kufika mahali pa tukio kuepuka mlolongo wa magari na traffic ambayo italeta usumbufu kwa raia pia.
k