Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

Sio mwakiilshi wa Afrika,waafrika kwa umoja wao hajatuma watu kumzika.hata watanzania tumeshtukizwa Rais Samia ameenda kwa ridhaa yake.mataifa ya Africa ambayo viongozi hawakwenda hawakuomba uwakilishi wa viongozi wa kiafrika walioenda.
😂 😂
 
Hiyo misimamo imewafikisha wapi hasa? Ni historia ya kupigana wao kwa wao tu! Na hivyo imewafanya yoyote anayetawala nchi hiyo lazima awe ni dikteta! Msimamo wao wa kutotawaliwa na mataifa ya kigeni ulikuwa mzuri, hivyo wangechukua msimamo huo katika kuendeleza na kuiunganisha nchi yao. Hebu iangalie historia ya kupigana wao kwa wao! Utawapa tuzo hilo.
Walipigana miaka hadi Eritrea kujitenga na sasa Tigray.Na hata nayo ikijengana hawatapumzika!
Ni kweli misimamo haijawasaidia sana , nadhani ni pamoja na kukosa western civilization,
Mkoloni kwa namna fulani alituachia ustaarabu.
 
Mambo mengine hayana msingi, Uende Uk mwenyewe kwa mapenzi yako halufu ukatae kupanda basi kama uliombwa!! Acheni kuandika uongo...
 
Sahihi, inazungumzia pia heshima, sasa nataka nipime kiwango cha heshima Afrika iliyokosa kwa kulinganisha na namna wengine walivyoheshimiwa.
Biden na yeye wamgempandisha bus ili iwe 50/50 tuone Kama secret service wangekubali ufala huo.
 
Hiyo ya miaka 800 siijuii , ila ethiopian are neither muslims nor christians pilgrims
Christian or muslim pilgrims ndio nani? Most Ethiopians are Orthodox Christians. And they follow their own calendar which has 13 months.

Amandla...
 
Yaan waafrica wengi wamenyoosha mikoni juu na ku surrender. Kwn hao marais waliokuja na misafara wao wakifa watapaa kama yesu. Ndo maana ameweka clear kuwa anatak same respect.

Nafkir magu asingeenda ata uo msiba wnyew kam hakuna ulazima. Agree or argue kusombwa na basi ni madharau.

Hicho kibibi nakijifiege tu huko bna alaa.
Hapa Tanzania walishapakiwa kwenye mabasi pia kama sijakosea zilikuwa sherehe za kuapishwa Kikwete au sherahe za kumbukumbu ya Uhuru labda hamjui hilo na wala halikusemewa
 
Hata kama angebebwa na pikipiki sawa tu.maana hakuna cha maana wanachokifanya afrika zaidi ya kufisadi mali za umma.Anataka kujilinganisha na wazungu ambao hawapendi ufisadi.kama anataka usawa na yeye ajali masilahi ya nchi yake
 
The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".

They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.

View attachment 2365300

View attachment 2365297
Hii habari ni ya uongo na sio ya kweli.
Video wanayoonyesha ni ya siku ya kutoa heshima na sio siku ya mazishi. Kwenye kutoa heshima kila kiongozi alienda kwa usafiri binafsi na ndio siku walikuwa wanaweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo.

Siku ya kusafirishwa na mabasi ilikuwa Kumatstu kwenye mazishi na huyo mama na yeye alipanda basi kama wengine.
 
Hakuna BAYA lolote kupamda basi Kwa wakuu wetu wa nchi.
 
Umeishaambiwa wafalme wa Hispania, Japan n.k. walipanda basi. Umeishaambiwa Rais wa ujerumani, ufaransa n.k. walipanda basi. Umeishaambiwa mawaziri wakuu wa Canada, New Zealand, Australia n.k walipanda basi. Bado unataka uthibitisho kuwa sio waafrika peke yao waliopanda basi. Hao wote kwenu ni waafrika, mzungu ni Biden peke yake.

Amandla...
Hoja yangu iko kwa mfumo wa swali..

Niliuliza tu. Kwa kuwa umejibu, hakuna ugomvi. Nimeelewa, nakushukuru...

Kumbe hata baadhi ya wale wa Ulaya na mabara mengine walikwenda kwa utaratibu uleule walioandaliwa na wenyeji wao...

Then, hakuna ubaya. Kwanza ni ishara ya kujishusha na kutokuwa na makuu japo wengine wanaweza kuwa walijifanya kukubali utaratibu huo lakini mioyoni mwao, wamekwazika...

Afadhali huyu wa Ethiopia alikataa waziwazi. Hakutaka kuwa mnafiki. Nayo inakubalika pia...

Asante.
 
Back
Top Bottom