Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

hawakuwa na sababu yo yote wao kwenda huku wanajua wazi ile royal family ni ya kibaguzi to the core. walitakiwa wawaachie mabalozi wawawakilishe.

walichotendewa ni sahihi ili wajifunze. mabalozi wana kazi gani? kwanza hawakupata hata wasaa wa kuzungumza na charles isipokuwa wale ambao bado anawatawala-The Common Wealth realm

Kweli wamepata somo zuri sana.
 
Ki asili, waafrica nasi ni watoto wa Adamu na Hawa kweli?

Kwa Waethiopia, sina shaka nao, wale wanaka asili ka Ki Yahudi Fulani hivi!

Je mataifa mengine vipi,
siyo kweli. kabla ya malkia kandake kutiwa mimba na solomoni ndipo solomon alipeleka waisraeli wachache huko na wakaanza kuzaana. si kwamba waethiopia wote ni wayahudi never...ethiopians, djibout, somalis, eritreans possibly yemenis come from the same root.
 
Respect
Song by Lucky Dube


When you flash that badge
You want everyone to shiver
When you flash that badge
You want everyone to worship you
I got no time to worship humankind
I only worship the Almighty (the Almighty)
Through His prophets I have learned
To give respect to everything He created
I give love to those who give me love
Love to those who give me war
I love those who hate me
I bless even those who curse me, yeah
I give love (love) to those who love me
Give love (love) to those who give me war
I love (love) those who hate me
I bless (bless) even those who curse me, yeah
C'mon show me respect
I got to see some respect
Show me, show me, show me respect
I got to, got to see some respect
Show me, show me, show me respect
You could be the president (president)
You could be his deputy (deputy)
You don't even have to know my political affiliation
You don't even have to know my religious affiliation
Respect me for who I am and not what I am
Nobody even cares about your dollars
Nobody even cares about your bling-bling (your bling-bling)
Give love (love) to those who give you love
Love (love) to those who give you war
Give love (love) to those who hate you
Bless (bless) even those who curse you
Give love to those who love you
Love to those who give you war
Love to those who hate you
Bless even those who curse you, yeah
Give me respect
I wanna see some respect
Gimme, gimme, gimme, respect
Show me, show me, show me, show me respect
Gimme, gimme, gimme... (respect)
Give me respect
I wanna see some respect
Gimme, gimme, gimme respect
Show me, show me, show me, show me respect
I wanna see some respect
Gimme, gimme, gimme respect
Show me, show me, show me, show me respect
Source: Musixmatch
Songwriters: Lucky Dube
Respect lyrics [emoji2398] Cotillion Music Inc., East Memphis Music Corp., Music Of Everhip-hop, Trinity Music, O R M Inc​

It takes a million people
To build up a good reputation
But it takes one stupid fool
To destroy everything they done
The world knows your people as
The most violent in the world
The world knows your nation as
The most oppresive in the world
Take it upon yourself
To restore your nation's dignity
It takes you to teach the world
That is why I got to say
Wherever you go (teach the world)
(Teach them right)
Teach the world (teach the world)
About your people (teach them right)
About your nation (teach the world)
Teach the world (teach them right)
About your religion (teach the world)
Teach them right (teach them right)
It takes a million lives
To get the respect you deserve
When people see your kind
Some of them would run a mile
The world knows your people
As a nation of crooks
Everyone around you should
Always keep their eyes opened
The world knows your nation
As a nation of drug lords
Everyone blames your people
For the destruction of the world
Take it upon yourself
To restore your nation's dignity
Everywhere you go
Teach the world (about your people)
Teach them right (teach them right)
Teach the world (about your culture)
Teach them right (teach them right)
Teach the world (religion)
Teach them right
Teach them about Rastafara
Teach the world (about your nation)
Teach them right (teach them about)
Teach the world (about your people)
Teach them right (teach)
Teach the world (about your culture)
Teach them right...
 
Anataka heshima gani wakati raia wake kila siku wanakamatwa kwenye mataifa mengine kama mizigo kwenye malori!!
Mwambieni arekebishe hali ya maisha ya raia wake haone kama hataheshimiwa!
 
Again miafrika acheni kujinasabisha na watu wengine. Hao mizungu, miyahudi, miarabu mnaolazimisha undugu nao wanatamani hata kujiua wakisikia mnajipendekeza kwao.

Nenda Israel uone masahibu wanayopitia wahabeshi waliosema wao ni wayahudi na kutaka kwenda Israel.

Ethiopians Kila siku wanashikwa kwenye malori TZ wakitaka kuzamia SA. Tigray bado damu zinamwagika sijui unawasifia kwa lipi?
Paragraph ya kwanza imenichekesha mkuu 😂😂😂.

Sijui nani alituroga waafrika weusi. Tuna matatizo sana ulivyomjibu huyo na yule mwingine. Tumepoteza identity yetu. Kuna mwingine yule FaizaFoxy kibibi kutwa anasema waarabu ni weusi. Huwa nacheka sana. Dini na ukoloni zimetuharibu vilivyo.
 
The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".

They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.

View attachment 2365300

View attachment 2365297
Lile ni taifa kubwa la Afrika.Wana vitu vingi vya kikwaokwao. Lugha yao ina hati zake na nakumbuka haikuwahi kutawaliwa.Ni nchi maskini lakini viongozi wake wanajiamini sana.
 
Sijui Ule mmbasi uliwekwa bendera ya nchi gani?
 
Miafrika acheni kujinasabisha na watu wengine, be proud of yourselves hamjioni mmekamilika Hadi mjinasibishe na watu wengine.
Usiwashangae kwa kujidhalilisha maana huwa wanasema bora kuwa mbwa ulaya
Yaani tunajiweka chini wenyewe
 
Usafiri wa umma (pamoja) ni mtamu sana.

Watakuwa walifurahi sana, maana wengi wao ni kitambo sana bila kuketi pamoja wakiabiri..

Heko kwa waratibu wa mapokezi hayo.
 
Basi BBC walitupiga fix, mie nikiusikiliza BBC.
"Canadian Prime Minister Justin Trudeau also said that "a lot of great conversations happen on the bus".

1663919193864.png


 
Maraisi kutoka mabara mengine walitumia usafiri upi?
Nao walipanda mabasi. Waliotumia usafiri wao ni wachache sana. Mpaka mfalme wa Japan alipanda basi. Kama mtu mmoja alivyosema, heshima itatokana na hali ya wananchi wako. Sio kuwa unamiliki gari la kukupeleka kwenye msiba. Kama ni kweli kasema hayo ni kibri na majivuno yasiyo na maana.

Amandla...
 
Kwenye dunia hii ya mtandao, kila mtu reporter; unachuja vipi credibility ya unachosoma na kuamua kuamini?

Hakuna kiongozi aliepanda ndege kwenda kwenye msiba bila ya kujua ataenda vipi kanisani. Wote waliopanda mabasi walijua usafiri wao kabla awajatoka nchini mwao.
 
Anataka heshima gani wakati raia wake kila siku wanakamatwa kwenye mataifa mengine kama mizigo kwenye malori!!
Mwambieni arekebishe hali ya maisha ya raia wake haone kama hataheshimiwa!
Labda anataka heshima yake kama yeye binafsi,lakini kama taifa hapana! Lakini Waethiopia huwa wanakataa kabisa kutambulika kama Waafrika! Sisi wenye rangi nyeusi na nywele kipilipili tunahesabika kama watumwa!
 
Back
Top Bottom