Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others.

View attachment 2365300

View attachment 2365297
Nyie watu mna matatizo Sana, wangepewa magari kila kiongozi na usafiri wake,bado mngesema wameenda kufanya anasa tu ulaya,kwann wasingepanda gari la pamoja
 
Hii habari mbona Haina chanzo Cha kueleweka? Kwa jinsi jambo la viongozi kupakiwa kwenye bas lilivyochukua sura mpya, lazima tu vyombo vya habari vingesema kwamba Rais wa Ethiopia hajaumia bas.

Natilia shaka hii taarifa.
 
Boss hanuniwi tukitaka respect tuache tembeza bakuli tutumie resources zetu kujiendeleza kuliko hivi sasa hawawezi kuwaheshimu viongozi wetu kwa sababu kama sisi tunashangaa maamuzi yao we wadhani wao wanawaonaje

Unaona ehh [emoji29]
 
Ki asili, waafrica nasi ni watoto wa Adamu na Hawa kweli?

Kwa Waethiopia, sina shaka nao, wale wanaka asili ka Ki Yahudi Fulani hivi!

Je mataifa mengine vipi,
 
Ki asili, waafrica nasi ni watoto wa Adamu na Hawa kweli?

Kwa Waethiopia, sina shaka nao, wale wanaka asili ka Ki Yahudi Fulani hivi!

Je mataifa mengine vipi,
Wayaudi ni matajiri mbona hapo Addis Ababa pamechoka tuu..
 
Ki asili, waafrica nasi ni watoto wa Adamu na Hawa kweli?

Kwa Waethiopia, sina shaka nao, wale wanaka asili ka Ki Yahudi Fulani hivi!

Je mataifa mengine vipi,
Uyahudi ni Imani,iliyoanzia kwa Musa,hata baba yao Ibrahim(mwarabu) hakuwa myahudi
 
Ki asili, waafrica nasi ni watoto wa Adamu na Hawa kweli?

Kwa Waethiopia, sina shaka nao, wale wanaka asili ka Ki Yahudi Fulani hivi!

Je mataifa mengine vipi,

Again miafrika acheni kujinasabisha na watu wengine. Hao mizungu, miyahudi, miarabu mnaolazimisha undugu nao wanatamani hata kujiua wakisikia mnajipendekeza kwao.

Nenda Israel uone masahibu wanayopitia wahabeshi waliosema wao ni wayahudi na kutaka kwenda Israel.

Ethiopians Kila siku wanashikwa kwenye malori TZ wakitaka kuzamia SA. Tigray bado damu zinamwagika sijui unawasifia kwa lipi?
 
Kweli ile ni dharau sana waliyofanyiwa viongozi wetu wa Kiafrica.
hawakuwa na sababu yo yote wao kwenda huku wanajua wazi ile royal family ni ya kibaguzi to the core. walitakiwa wawaachie mabalozi wawawakilishe.

walichotendewa ni sahihi ili wajifunze. mabalozi wana kazi gani? kwanza hawakupata hata wasaa wa kuzungumza na charles isipokuwa wale ambao bado anawatawala-The Common Wealth realm
 
Yes respect kwa wengine ni kitu kizuri ila wametudharau maana walitutawala na bado tunawaomba misaada hata ingekuwa mimi ningeondoka kwani ukitaka kuja tz silazima umuone samia au uongozi wake sasa leo kwanini wakipaki kama mzigo inauma
 
Uyahudi ni Imani,iliyoanzia kwa Musa,hata baba yao Ibrahim(mwarabu) hakuwa myahudi
Abraham hakuwa mwarabu-arabian alikuwa chaldean-mkaldayo. Na ukisoma historia kwa undani, kitabu cha Yashari kinasema baba yake Ibrahim, mzee Tera alikuwa mmoja wa washauri muhimu wa Nimrod-Mkushi, a black man.

Hata sasa kusema mtu wa maeneo ya Iraq/iran anayezungumza farsi ni mwarabu si sahihi.
 
Abraham hakuwa mwarabu-arabian alikuwa chaldean. Kusema mtu wa maeneo ya Iraq/iran anayezungumza farsi ni mwarabu si sahihi.
Iraq hawazungumzi farsi,acha upotofu, Saddam Hussein ni mwarabu au muajemi!?
 
Back
Top Bottom