Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
KivipiKweli ile ni dharau sana waliyofanyiwa viongozi wetu wa Kiafrica.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipiKweli ile ni dharau sana waliyofanyiwa viongozi wetu wa Kiafrica.
Kumbe aligomea bus kwa sababu yeye siyo mwafrika?Huyu ni Myahudi ujue,,, hapana taka dharau
upotofu gani wewe...nimestroke nikaweka Iran ndiyo nimeiwekea farsi au hukufundishwa shule? kwa taarifa yako farsi is among the minority languages za iraq ukiachilia zingine kubwa kama arabic, kurdish, Turkmen,Syriac na armenianIraq hawazungumzi farsi,acha upotofu, Saddam Hussein ni mwarabu au muajemi!?
Kwani Kirene iko nchi gani. Maana usidhani palivyoandikwa Mkirene kwamba ni ukoo wake au jina la baba yake, laa, ni mahali alipotoka.
Iko LibyaKwani Kirene iko nchi gani. Maana usidhani palivyoandikwa Mkirene kwamba ni ukoo wake au jina la baba yake, laa, ni mahali alipotoka.
Jesus is Lord
Nilifurahi sana sana nadhani akili itawakaa sawa taratiiiibu maana wenyewe huwa wanawafavour dhidi ya watu wao wanaoteseka na njaaBoss hanuniwi tukitaka respect tuache tembeza bakuli tutumie resources zetu kujiendeleza kuliko hivi sasa hawawezi kuwaheshimu viongozi wetu kwa sababu kama sisi tunashangaa maamuzi yao we wadhani wao wanawaonaje
Imebidi nicheke.Raia wake wanakufa kwenye Makontena wakisafirishwa kama mazao yeye hataki kupanda bus...
Canadian prime minister alipanda basi.Tsh anahoja ila angeboresha kidogo swali lake, kwamba ukiachilia mbali usafiri wa bus, kulikua na utaratibu mwingine?
Hapo ndio utaona Canada,US,Israel na wengine wao walikua na misafara Yao.
Hivi KWa umoja wao viongozi wa Afrika wangeamua kutopanda wote ,na hata kutohudhulia msiba wao ilikua na shida GANI?Nyie watu mna matatizo Sana, wangepewa magari kila kiongozi na usafiri wake,bado mngesema wameenda kufanya anasa tu ulaya,kwann wasingepanda gari la pamoja