Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

Sio mwakiilshi wa Afrika,waafrika kwa umoja wao hajatuma watu kumzika.hata watanzania tumeshtukizwa Rais Samia ameenda kwa ridhaa yake.mataifa ya Africa ambayo viongozi hawakwenda hawakuomba uwakilishi wa viongozi wa kiafrika walioenda.
πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ni kweli misimamo haijawasaidia sana , nadhani ni pamoja na kukosa western civilization,
Mkoloni kwa namna fulani alituachia ustaarabu.
 
Mambo mengine hayana msingi, Uende Uk mwenyewe kwa mapenzi yako halufu ukatae kupanda basi kama uliombwa!! Acheni kuandika uongo...
 
Sahihi, inazungumzia pia heshima, sasa nataka nipime kiwango cha heshima Afrika iliyokosa kwa kulinganisha na namna wengine walivyoheshimiwa.
Biden na yeye wamgempandisha bus ili iwe 50/50 tuone Kama secret service wangekubali ufala huo.
 
Hiyo ya miaka 800 siijuii , ila ethiopian are neither muslims nor christians pilgrims
Christian or muslim pilgrims ndio nani? Most Ethiopians are Orthodox Christians. And they follow their own calendar which has 13 months.

Amandla...
 
Hapa Tanzania walishapakiwa kwenye mabasi pia kama sijakosea zilikuwa sherehe za kuapishwa Kikwete au sherahe za kumbukumbu ya Uhuru labda hamjui hilo na wala halikusemewa
 
Hata kama angebebwa na pikipiki sawa tu.maana hakuna cha maana wanachokifanya afrika zaidi ya kufisadi mali za umma.Anataka kujilinganisha na wazungu ambao hawapendi ufisadi.kama anataka usawa na yeye ajali masilahi ya nchi yake
 
Hii habari ni ya uongo na sio ya kweli.
Video wanayoonyesha ni ya siku ya kutoa heshima na sio siku ya mazishi. Kwenye kutoa heshima kila kiongozi alienda kwa usafiri binafsi na ndio siku walikuwa wanaweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo.

Siku ya kusafirishwa na mabasi ilikuwa Kumatstu kwenye mazishi na huyo mama na yeye alipanda basi kama wengine.
 
Hakuna BAYA lolote kupamda basi Kwa wakuu wetu wa nchi.
 
Hoja yangu iko kwa mfumo wa swali..

Niliuliza tu. Kwa kuwa umejibu, hakuna ugomvi. Nimeelewa, nakushukuru...

Kumbe hata baadhi ya wale wa Ulaya na mabara mengine walikwenda kwa utaratibu uleule walioandaliwa na wenyeji wao...

Then, hakuna ubaya. Kwanza ni ishara ya kujishusha na kutokuwa na makuu japo wengine wanaweza kuwa walijifanya kukubali utaratibu huo lakini mioyoni mwao, wamekwazika...

Afadhali huyu wa Ethiopia alikataa waziwazi. Hakutaka kuwa mnafiki. Nayo inakubalika pia...

Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…