Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
-
- #21
Acha wivu. Pia, una inferiority complex.Mkuu tunajua kabisa wewe mbongo mwenzetu na unajua kizungu. Basi humu kwa waswahili acha kujimwambafai na kiingereza kwani tunajua fika kwamba uko majuu na unajua kizungu.
Waache kujilizaliza Oct 07,2023 Waliipanga wenyewe sasa wanalia nini? Walivamia wenyewe wasitake Sympathy kutoka kwa walimwengu.Inatia simanzi kwa kweli!
Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing].
Hamas are no heroes. They are suckers and losers.
Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some.
What kinda hero puts their people through such hell?
October 7 didn’t accomplish anything other than bring misery to the majority of Gazans.
Shame on the entire world for letting a genocide continue to happen in Gaza.
Those people are human beings, for god sake!
When will the world say enough is enough?
Oh, btw, Benjamin Netanyahu, *** you and your whole entire government, too.
Hamas imefanikiwa kuharibu uhusiano mzuri uliokuwepo kati ya Israel na mataifa mengine hasa ya kiarabu, hata nchi baadhi za Ulaya tumeona zikisikitishwa kwa kile Israel inafanya.. Maandamano makubwa yamefanyika kote duniani kuunga mkono Palestina, na baadhi ya nchi zimechukua hatua kama kusimamisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel au kutoa wito wa kuipeleka Israel Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).Baada ya Oct 7, Hamas wamefanikiwa kipi mpaka sasa?...
Gaza yote imegeuka mji wa magofu, huku Wapalestina zaidi ya 50,000 wakiuawa na maisha yao kuharibiwa.
Netanyau anaongoza serikali ya wahalifu na wauaji kama ambavyo Hamas walivyo
How about Africans who died during colonialialism, how about Congolese who are dying everyday like baboons, how about Sudanese, please don't cry like a baby pigInatia simanzi kwa kweli!
Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing].
Hamas are no heroes. They are suckers and losers.
Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some.
What kinda hero puts their people through such hell?
October 7 didn’t accomplish anything other than bring misery to the majority of Gazans.
Shame on the entire world for letting a genocide continue to happen in Gaza.
Those people are human beings, for god sake!
When will the world say enough is enough?
Oh, btw, Benjamin Netanyahu, *** you and your whole entire government, too.
Wakati mwingine mtumie akili zenu vizuri!! Kuvaa Combat kipindi cha kubadirishana mateka ndiyo unasema wana nguvu nguvu gani hiyo. Waambie mabwana zako waingie ulingoni tuwaone wanavyopigwa!!! Kuvaa combat haimaniishi una nguvu!!! Wajinga tu na wapumbavu kama wewe ndiyo wataamini upuuzi wako huu.Hamas walikubali kusitisha vita na kubadilishana mateka, Netanyahu hivi sasa anaishambulia Gaza kwa nguvu zaidi, nadhani ile siku ya kukabidhiana mateka hawakuamini kama Hamas bado wana nguvu
Kwa ujinga wako lazima tu ushangae maana hizo gari mpya ni za Red cross ziliingizwa Gaza ili kufanikisha zoezi la kubadirishana Mateka na Wafungwa!!!mi mwenyewe nilishangaa, na zile gari zao mpya zote sijui wanazificha wapi...
kwa kuwa wewe ni mjinga huelewi kuwa hicho ndicho kinachowatesa wananchi wa Gaza!!Kibaya zaidi kilichimuuma mzee Neta ni Hamas kutoka mashimoni wakishangilia ushindi huku wananchi wakipiga miluzi kuonyesha wanawakubali...
Hebu tupe hizo data umezipata wapi? Tumia akili zako vizuri hizo figure haziwezi kusaidiwa chochote wala haiwezi kuhalalisha Ushenzi walioufanya Oct 07,2023.Oct 7 Hamas walichofanya Hamas ni sawa tu na Israel ambavyo iekuwa ikua raia wa Gaza makusudi, kabla ya Oct 7 Israel ilishaua Palestinians zaidi ya 134,000(laki moja na elfu thelathini na nne) toka 1948.
Ujinga kama huo huwezi kufanya kitendo cha magaidi wa Hamas Oct 07,2023 kuwa halali binafsi napendekeza tu wapigwe mpaka wachakae!!Mi naunga mkono Hamas, hata kwenye serikali zetu za kiafrika wapinzani wanaotetea haki za wananchi, kuikosoa serikali wanateswa na kuuawa hovyo, kufungwa jela na wengine kukimbia nchi kuokoa uhai wao na familia zao.
Hao wapinzani wakiamua kujibu mapigo kwa kile kile wanachofanyiwa inakuwaje uje useme ni magaidi au wao ndio wameanzisha vurugu?
Waache kujiliza-liza waliyataka wenyewe Oct 07,2023!,,,Tatizo Sheria za kimataifa azifuatwi kuusu Palestina ndicho kilichomliza uwo ndio Ukweli!!!!!!
Mashilika ya kimataifa ya ugawaji chakula yapo lkn Marekani na Israel wanataka wao ndio wausike kugawa chakula !!¿¿
kwann Palestina tu yanatokea aya uku awa awa ndio wanauwa watu na kuibomoa Gaza !!!
tena wao ndio Wagawaji wa Chakula !!!
njama yao kutaka kuidanganya Dunia eti Hamas ndio wanazuiya ugawaji wa chakula !!!
apa apo iyonekane eti Marekani na Israel ni watu wema wenye kuwajari wa Palestina na Hamas ndio wabaya!!!!!!
kwaiyo Wamejibebesha jukum sio lao kwajilii ya Propaganda kuuwadaa ulimwengu kuusu Hamas na Chakula.. Shetani ajawai mshinda Mungu na aitotokea Shetani kumshinda Mungu!!!
wataendelea na kuendelea kuumbuka kudai eti watetezi wa haki !!!
kumbe wenyewe ndio majambazi mwitu Hatari zaid kwa Haki za Binadamu Wanaouwa ad vitoto vichanga ,,
Sidhani kama itatokeaWhen will the world say enough is enough
Hapo Hamas wanafaidika vipi wakati Gaza zaidi ya watu 50,000 Mimi yao imekuwa Vifusi? Acha ujinga huo ni Upumbavu tu unawasumbua!!!Hamas imefanikiwa kuharibu uhusiano mzuri uliokuwepo kati ya Israel na mataifa mengine hasa ya kiarabu, hata nchi baadhi za Ulaya tumeona zikisikitishwa kwa kile Israel inafanya.. Maandamano makubwa yamefanyika kote duniani kuunga mkono Palestina, na baadhi ya nchi zimechukua hatua kama kusimamisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel au kutoa wito wa kuipeleka Israel Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Kwa kipondo kama hicho wewe huwezi kuona maana uko huko unakula nyama za nguruwe kila siku. Wananchi wa Gaza wao ndiyo mziki wanaupata vizuri sana!!Wamefanikiwa kuionyesha dunia Israel haitishi kijeshi kama watu walivyodhani mwanzoni..
Imedhibitika wazi kuwa wapalestina hakuna anayewataka kwa dhati nchi zote za kiarabu hakuna hata nchi inayowataka vibaka hao.Pia wamefanikiwa kuwapa Palestinians sauti duniani wasikilizwe tofauti na mwanzoni, hii imeibua mijadala mipya kuhusu ukoloni na haki za binadamu.
Yote hayo kutokea gharama kubwa ya damu ya wapalestina imetumika...
yote na yote walichofanya Hamas Oct 7 haikuwa sahihi, walitumia zaidi hisia kuliko akili, lakini pia siwalaumu kwa sababu nao ni wanadamu, wanahisi uchungu na hawapendi kunyanyaswa... hata katika maisha yetu ya kawaida hasa kwenye mahusiano kuna watu wanauana tena mauaji ya kikatili kutokana na usaliti, kudhalilishwa n.k
Hasira isiyodhibitiwa ni hatari na inaweza kugeuza mtu mzuri kuwa muuaji au mharibifu...
Usiongee sababu hayajakukuta, kama uko mbali nchi haina vita shukuru MunguKilio feki hicho
Do baby pigs cry?How about Africans who died during colonialialism, how about Congolese who are dying everyday like baboons, how about Sudanese, please don't cry like a baby pig
Those Africans are not Arabs/Muslims!!!!How about Africans who died during colonialialism, how about Congolese who are dying everyday like baboons, how about Sudanese, please don't cry like a baby pig
Kama mafanikio ya Hamas umeyaona.....haya bhana.Hamas imefanikiwa kuharibu uhusiano mzuri uliokuwepo kati ya Israel na mataifa mengine hasa ya kiarabu, hata nchi baadhi za Ulaya tumeona zikisikitishwa kwa kile Israel inafanya.. Maandamano makubwa yamefanyika kote duniani kuunga mkono Palestina, na baadhi ya nchi zimechukua hatua kama kusimamisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel au kutoa wito wa kuipeleka Israel Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Wamefanikiwa kuionyesha dunia Israel haitishi kijeshi kama watu walivyodhani mwanzoni..
Pia wamefanikiwa kuwapa Palestinians sauti duniani wasikilizwe tofauti na mwanzoni, hii imeibua mijadala mipya kuhusu ukoloni na haki za binadamu.
Yote hayo kutokea gharama kubwa ya damu ya wapalestina imetumika...
yote na yote walichofanya Hamas Oct 7 haikuwa sahihi, walitumia zaidi hisia kuliko akili, lakini pia siwalaumu kwa sababu nao ni wanadamu, wanahisi uchungu na hawapendi kunyanyaswa... hata katika maisha yetu ya kawaida hasa kwenye mahusiano kuna watu wanauana tena mauaji ya kikatili kutokana na usaliti, kudhalilishwa n.k
Hasira isiyodhibitiwa ni hatari na inaweza kugeuza mtu mzuri kuwa muuaji au mharibifu...
Ni kweli huko ni kujilizaliza tu Kutaka huruma kwa watu kuficha unyama walioufanya Oct 07,2023Usiongee sababu hayajakukuta, kama uko mbali nchi haina vita shukuru Mungu
YesDo baby pigs cry?
Huyo kashiba Maharage ya Jana!!! Ndiyo maana anabwabwaja kama nguruwe!!!Kama mafanikio ya Hamas umeyaona.....haya bhana.
Where?
Hiv unafikir ukishasema hivyo ndio atabadilika auMasharti yapi? Ni nani walivunja ceasefire? Mateka si ilikubaliwa watarudishwa? Why myahudi mwenye asili ya Poland Benjamin Mileikowsky ambaye ni waziri mkuu wa dola ya kigaidi ya kivamizi ya kizayuni alikataa na analazimisha mashambulizi badala ya ceasefire ili mateka warudi?
Acha kutia aibu Mwambino, JF membazi wote Ingilishi inapanda.Mkuu tunajua kabisa wewe mbongo mwenzetu na unajua kizungu. Basi humu kwa waswahili acha kujimwambafai na kiingereza kwani tunajua fika kwamba uko majuu na unajua kizungu.