Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

Napenda 'comments' i mean thread za namna hii zisizoegemea upande!
 
Usiwe moved emotionally na machozi ya watu ambao hadi sasa wanalipa watu wakafanye ugaidi halafu wakipigwa wanajifanya kulia.
Waachane na harakati za hovyo, wageshimu uhai kuliko kwenda kujikiza UN huku wanalipa watu kwenda kumwaga damu zisizo na hatia
 
Watoto wanaokufa huko Gaza wanamlipa nani akafanye ughaidi?

Hao watoto wanazitoa wapi hela za kuwalipa maghaidi?
 
Watoto wanaokufa huko Gaza wanamlipa nani akafanye ughaidi?

Hao watoto wanazitoa wapi hela za kuwalipa maghaidi?
Samahani, hivi wewe ukiwa baba au kaka ukaenda kufanya ukorofi na ujambazi ukakimbizwa ukaenda kujificha ndani ya nyumba ambayo ina watoto halfu ukawa unawashambulia wanaokukimbiza ukiwa kwenye hiyo nyumba wakijibu wakakuumiza wewe na watoto wako kosa ni la nani?
 
Kuna watu walicheza ibeneke humu humu wakiwanasibu Hamas kuwa ni mashujaa, hao hao leo wanakuja na kauli za kilio na kulaani.
 
Uchambuzi makini ni kusikitika kwa tukio la okyoba 7 na kurafakari nini kimepelekea kutokea --- mashabiki wa vita wanafanya kama maisha yalianza tarehe hiyo.

No reforms -
 
Mtoa mada kumbe huwajui waarabu walivyo hao mafala wanatakiwa uishi nao kama Israel anavyoishi nao.....
Tafuta Ile video ya mtanzania mwenzetu alivyouawa na hao magaidi wa hamas nadhani utapata jibu, hicho kilio cha furaha Tu hakuna jipya hapo.
Mwarabu ni zaidi ya mnyama kwenye ukatili Acha Tu wapigweee
 
Sipingi maghaidi kuuliwa.

Ninachopinga ni raia wasio na hatia, kuuliwa, wawe wa Israel, Palestina, Ukraine, India, au popote pale.

Watoto wanaouliwa kila siku huko Gaza, kosa lao ni lipi?

Kibinti ka miaka 7, ambako wazazi wake wameuliwa, kamebaki kwenye we tu na mdogo wake, kametenda kosa gani mpaka karate mateso yote hayo?

Kinachoendelea Gaza sasa hivi hakikubaliki hata kidogo.

Hamas ni wapumbavu tu waliowasababishia madhila watu hao. Lakini pia, hata Israel ni wapumbavu na viongozi wake wanapaswa kufungwa gerezani kwa maisha yao yote.
 
Kama kweli Israel ilikuwa inalenga kupambana na Hamas pekee, ingeweka njia salama kwa raia wa Gaza kuondoka. Lakini badala yake, ilifunga mipaka yote, ikazuia watu kutoka, kisha ikawashambulia bila kujali. Hilo ni kosa la kisheria na kimaadili. Huwezi kuhalalisha mauaji ya maelfu ya watoto kwa hoja ya ‘adui alikuwa karibu nao,’ wakati uliwanyima nafasi ya kujiokoa. Gaza si uwanja wa vita wa wazi ni gereza la wazi. Tusitafute sababu za kutakasa unyama...


Kuua mtoto eti kwa sababu mpiganaji anajificha karibu ni sawa na kusema "kila mtu aliye karibu na adui anaweza kuuawa", jambo ambalo ni la kikatili na halikubaliki kiutu...

Kingine tofautisha familia ya kawaida mitaani na taifa lenye jeshi rasmi, silaha za kisasa, na wajibu wa kutii sheria za kimataifa.
Kumbuka
Sheria za vita hazitegemei kila raia wa kawaida kuzijua, bali zinawalenga serikali, Majeshi rasmi na viongozi wa kijeshi na wa kisiasa..
Israel ina jeshi lililobobea, wanasheria wa kijeshi, teknolojia ya hali ya juu hii haipaswi kuchukuliwa kama mtu wa kawaida anayefaanya maamuzi kwa hisia au hasira...

Hata polisi wakienda kumkamata mhalifu akiwa nyumbani kwa watoto, hawaruhusiwi kuwapiga watoto ambao hawajui chochote kinachoendelea..

Hata juzi hapa watu wanaodaiwa ni askari walikwenda kwa mpinzani wa kisiasa wakavunja mlango alikuwepo mtoto na mke nyumbani usiku, lakini walimjeruhi na kumpiga baba wa familia na kuondoka nae, wakaacha mtoto na mke bila kuwagusa... japo ni wahalifu lakini wanafahamu hilo, sasa wewe utakuwa ni mnyama kuunga mkono huo ujinga.

Hoja yako ni mfu na haina maana...

Pia elewa Israel haikua na nia ya kuwaponya raia, imeua raia wa Gaza wakiwemo watoto kwa makusudi... Israel inadhibiti mipaka ya Gaza kwa upande wa bahari, anga na ardhi isipokuwa mpaka mdogo na Misri ambao pia hufungwa mara kwa mara... watu wa Gaza hawana pasipoti huru, hawana uwanja wa ndege, hawaruhusiwi kuvuka mpaka kiholela.

Hivyo, wakati mashambulizi yalianza, raia hawakuwa na namna ya kujinusuru, hata kama wangetaka kuondoka.
Israel haikutoa safe corridors kwa raia , badala yake ilishambulia hata maeneo yaliyotangazwa kuwa salama..

Kitendo cha kuzuia raia kutoka na kisha kuwaua kwa kisingizio cha kupambana na Hamas kinaweza kutafsiriwa kama collective punishment, adhabu ya pamoja kwa watu wote kwa kosa la wachache, jambo lililokatazwa wazi na sheria za vita.

Ikiwa kuna raia waliotaka kuondoka lakini wakazuiwa, na bado wakauwawa, hiyo ni ishara ya kukosa dhamira ya kulinda maisha ya watu wasio na hatia, hapo Israel alifanya makusudi..

hivyo kiongozi hoja yako ni dhaifu na inaonyesha uwezo wako mdogo katika kufuatilia sheria za kivita...
 
Mwa aume anaye lia umri kama huo lazima awe a a kasora ya kiume tu

Afu hao ni mapuppets lazima wajilize vile ili kuikuza Israel kama ina nguvu Sanaa, si ajabu kambiwa na Shetanyahu ajilize.
 
Watoto wanaokufa huko Gaza wanamlipa nani akafanye ughaidi?

Hao watoto wanazitoa wapi hela za kuwalipa maghaidi?
Hivi na wewe unaamini Propaganda za kijinga za kusema watoto wanauliwa? Jiulize kwa nini watoto tu? Kikawaida watoto wanapaswa kulindwa na wazazi wao sasa kwa nini watoto tu ndiyo wanatangazwa sana?

Je wewe hujui kuwa Magaidi daima huwatumia wanawake na watoto kama Kinga ( Human-Shield)?
Kwa maana hiyo Hamas kama magaidi wanawatumia watoto kama Kinga katika vita vyake vya kigaidi huko Gaza na kwa ujinga wao wanapouwawa wanasingizia watoto

View: https://x.com/lizarosen0000/status/1917625425737515431?s=61
 
Waache kujiliza-liza waliyataka wenyewe Oct 07,2023!,,,
October ipi !!! Tena mipaka ya Ardhi unaijua inayotambuliwa na Sheria za kimataifa Israel inamipaka yake kisheria iyo October unayosema ww Hamas walivunja Sheria ipi ya kimataifa!!!??
 
Kuna mtu hapo juu alikuambia wewe huwajui waarabu walivyo WASHENZI!!!
Nakushangaa sana unapojifanya kuwaoneo huruma vibaka hao!!!

Je wajua walivyowafanyia familia ya Bibas waliwateka nyara Mama yao Shrii na watoto wake Ariel miaka 8 na Kfri miezi 8 wali waja Mama yao kisha wakaua na watoto hao kisha wakati wanarudisha maiti hizo ilikuwa sherehe kubwa walikuwepo na unaowasema wewe watoto wasio na hatia wakifurahia kuuwawa kwa familia hiyo ya Bibas. Hebu Tumia akili kufikiri hao ni watu au ni Nusu watu( Sub-Human)?


View: https://x.com/olilondontv/status/1892521331742122370?s=61
View: https://x.com/eyakoby/status/1902047960084455642?s=61
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…