Mwakinyo amshinda Mnamibia, Tony Rashid apoteza mkanda kwa Msauzi

Duh tupe vp lkn unayoona apo kwa tathmini yako mkuu mana wengine tuko mbali,, mdigo atachezea au
kwa sasa mwakinyo anaonekana kushinda maana anatupa makonde mazuri lakini hatujajua maana aliyepigana na tony alikuwa anakimbia kama nyami ila mwisho wa sikj kamuangusha mtu japo alivyoshinda wakawa wanamzngua wabongo wakamaindi kidogo kiwake azam wakawa wanaficha ficha kutangaza
 
Pamoja mkuu
 
Pambano linaendelea?

Yasije yakawa ya dula mbabe kumuangusha twaha afu mwisho wa siku akapigika vile vile
limeisha tayar hilo lilikuwa linataka kutokea kwenye pambano la tony walivyotaka kumchukulia jamaa gloves zake
 
Back
Top Bottom