Ridhwani Mbaraka
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 484
- 1,135
Pamoja na kumuona Indongo dhaifu lkn sio Kweli.Hivi ni nani ambaye huwa anwajibika kutafuta hawa opponents? Sijawahi kuona mtanange wa kukata na shoka kutoka kwa huyu jamaa always kuna kumwaga na slope, Sasa kama huyo jamaa si mzee kabisa?
Indongo amepigana na boxers wenye level za juu sana akiwemo Terence Crowford. Pamoja na kwamba alipigwa lkn alionyesha uwezo mkubwa.
Kwahiyo Mwakinyo amemshinda huyo kwa sababu amesimamia vema mipango yake...Mipango ya Indongo ilikua kuvuta muda lkn mipango ya Mwakinyo ilikua kumaliza ndani ya muda alioukusudia.. Adui mkubwa wa boxers ni muda uliojiwekea kutimiza mipango yako..mpinzani akiweza kukutoa kwenye mipango yako tu umekwisha.