Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Acha ukweli usemwe,ngumi za bongo ni magumashi tu kazi kuibiwa watu viingilio vyao na kuwapotezea muda wao tu.Uchawi sio kuwanga usiku.Uchawi pia namna tulivyo.
Pambana la maana lilikuwa ni la Tony, huyu mwingine ni maigizo tu.