Mwakinyo amshinda Mnamibia, Tony Rashid apoteza mkanda kwa Msauzi

Mwakinyo amshinda Mnamibia, Tony Rashid apoteza mkanda kwa Msauzi

Acha ukweli usemwe,ngumi za bongo ni magumashi tu kazi kuibiwa watu viingilio vyao na kuwapotezea muda wao tu.

Pambana la maana lilikuwa ni la Tony, huyu mwingine ni maigizo tu.
Tony kapigana sana, hata mm nimesikitika ameshindwa kumalizia dk 3 za mwisho.....la Mwakinyo ni bongo movie
 
Pamoja na kumuona Indongo dhaifu lkn sio Kweli.
Indongo amepigana na boxers wenye level za juu sana akiwemo Terence Crowford. Pamoja na kwamba alipigwa lkn alionyesha uwezo mkubwa.
Kwahiyo Mwakinyo amemshinda huyo kwa sababu amesimamia vema mipango yake...Mipango ya Indongo ilikua kuvuta muda lkn mipango ya Mwakinyo ilikua kumaliza ndani ya muda alioukusudia.. Adui mkubwa wa boxers ni muda uliojiwekea kutimiza mipango yako..mpinzani akiweza kukutoa kwenye mipango yako tu umekwisha.
Ana mwaka mzima bila pambano, katika mapambano yake manne ya nyuma alipoteza yote.Yawezekana akawa ni bondia mzoefu ila yote hayo uliyoyataja hapo ni historia ambayo si uhalisia wake wa sasa.

Katika pambano la hivyo kuwahi kuchezwa na huyo dogo basi hili ni namba moja, kila wenye macho na akili kidogotu ameona.
 
Bora useme wewe maana wa bongo wabishi sana shida yao n kuona mwakinyo akipigwa hahahhhhhh
Mkuu ngumi zilikuwa live kila mtu kaona, Mwakinyo kwa namna alivyo anza bila shaka angeshinda bila tatizo ila refa kazingua
 
Tony kapigana sana, hata mm nimesikitika ameshindwa kumalizia dk 3 za mwisho.....la Mwakinyo ni bongo movie
Hiyo sasahivi hawezi kuleta bondia competitive anaogopa kupigwa, ili aendelee kuvimba anahitaji mabondia wa aina hii ya leo
 
Sipo huko, nimesikitika sana Tony kupigwa.Na pia Mwakinyo alipaswa apige ili wengi tulio wachawi tufurahie.
Maana tabia za wachawi huwa za namna hiyo.
Hufurahia sana mabaya ya watu pasipo haya.
Mchawi we na huyo mdigo mnaomroga hadi refa
 
Mkuu, hawa kina kiduku ni wa ngapi kwa uzito wao duniani?
Pambano litakalo kuja kuvunja record na kuingiza hela ya maana ni Kati ya Mwakinyo na Twaha, kutakuwa ni pambano competitive sana.

Ila endapo litatokea, atakepigwa sikuhiyo atakuwa kajishusha sana kibrand na ndiomaana kuna mmoja Kati yao hataki kabisa hata kusikia kuhusu hicho kitu (hajiamini kabisa)
 
Acha ukweli usemwe,ngumi za bongo ni magumashi tu kazi kuibiwa watu viingilio vyao na kuwapotezea muda wao tu.

Pambana la maana lilikuwa ni la Tony, huyu mwingine ni maigizo tu.
Mmesema ukweli mpaka sasa imesadia nini?
 
Back
Top Bottom