Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Muingereza Sam E alikula kichapo huko huko kwao mbele ya malkia..au atoke nje ya dunia kabisa?Mwakinyo aendelee kupigania hapa hapa nyumbani chini ya Marefa wakina Mlundwa na wenzake la sivyo akitoka nje tutamsahau.