Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Tatizo nini mkuu?Mimi mmoja wa hao watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo nini mkuu?Mimi mmoja wa hao watu
Hahaha najuaga we humkubaligi mwakinyoMimi mmoja wa hao watu
Hana maajabu kabisa.Hahaha najuaga we humkubaligi mwakinyo
Kitambo tu
Ova
Hakuna atakaenufaika na hilo pambano, hata Twaha hatanufaika nalo kwakua sio la kumpandisha rank isipokuwa litakuwa ni pambano lenye kuleta heshima Kati ya hao miamba wawili.Mwakinyo halihitaji hilo pambano.
Twaha ndio muhitaji wa pambano, Mwakinyo hana atakachofaidika zaidi ya kufurahisha watu ila ki CV hawezi gain chochote.
Mwakinyo anaishi kama celebrity( ukitazama hata instagram yake utagundua), anajiona mbali sana.
Chief-Mkwawa njoo hapa, tunapokwambia kuwa mapromoter wenu ni janjajanja uwe unaelewa.Julius indongo kacheza ngumi toka 2009 na alishaacha ngumiView attachment 1923101
Unaelewa nini wakisema ‘Debut’ ?!Julius indongo kacheza ngumi toka 2009 na alishaacha ngumiView attachment 1923101
2009 his first appearance, 2020 his end of the career. Sasa unasemaje et tangu 2009 hajacheza ngumi.Julius indongo kacheza ngumi toka 2009 na alishaacha ngumiView attachment 1923101
Hapa Suala sio uwezo wa Mwakinyo vs Kiduku. Issue hapa ni brand na rank. Je, Tupo tayari tumshushe Mwakinyo kwa kumpambanisha na Kiduku halafu akipigwa ashuke rank na wakati huo huo ikitokea Kiduku kampiga Mwakinyo wala hawezi kupanda rank ya Mwakinyo? au tumtengeneze Twaha Kiduku kifikia rank ya Mwakinyo na nchi kuwa inajuvunia kuwa na mabondia wenye rank ya juu?Kuna vitu vingi hapa lazima tuviangalie na tuvizingatie.
Cha kwanza lazima ujue upana wa malengo ya kila bondia(Kibiashara na Kimafanikio ya mchezo)
++ Mwakinyo anayasema malengo yake kila mara na ukimsikiliza unaona anamaanisha.
La pili ni "Motivation" ..Mwakinyo yuko motivated 100% kufikia ndoto zake.
La tatu ni Mchakato (Process)..Ili ufike unakotaka lazima ujue njia na mchakato wa kukufikisha huko.
Kama hujui hivi vitu lazima utafeli hata uwe mzuri vipi kwenye ring.
Kwahiyo mm namuona Mwakinyo akitafuta na kupita njia za kufikia majukwaa makubwa awa akili sana(Mchakato) bila kuhitaji kupoteza.
Kupitia pambano la Indongo ambae ni bondia mwenye rank kubwa na jina kubwa duniani atapanda viwango na pia ameonekana duniani na sasa atapata pambano bora kabisa baada ya hili na atapata pesa ya kutosha sana.
Hiki anachofanya Mwakinyo hakina tofauti na alichofanya Diamond.
Si kwamba Diamond ni mwbaji na mchezaji mzuri kuliko wengine Tanzania bali yeye alitafuta na kupita kwenye njia sahihi za kumpa mafanikio aliyoyahitaji.
Umesoma vizuri content ya nilichoandika? Mbona unachosema ww hakishabihiani na hoja yangu?Hapa Suala sio uwezo wa Mwakinyo vs Kiduku. Issue hapa ni brand na rank. Je, Tupo tayari tumshushe Mwakinyo kwa kumpambanisha na Kiduku halafu akipigwa ashuke rank na wakati huo huo ikitokea Kiduku kampiga Mwakinyo wala hawezi kupanda rank ya Mwakinyo? au tumtengeneze Twaha Kiduku kifikia rank ya Mwakinyo na nchi kuwa inajuvunia kuwa na mabondia wenye rank ya juu?
Ngumi sio kama Mpira wa Miguu unaweza kuichezesha Al ahly na Vifundo FC, hadhi ya al ahly haiwezi kushuka. Taratibu za ngumi zinatofauriana na michezo mingine.
Hapa tunataka kuwe na mipango ya kumuinua Twaha ili asiendelee kupigana ngumi za Ndondo ambazo hazimpi rank yeyote. Tujiulize Mwakinyo amefikaje hapo alipo ili Twaha Kiduku na hata Dulla Mbabe ambao wote ni wazuri lakini je, tunawafikishaje kwenye rank zinazotambuliwa?
Tusidhani kumpambanisha Kiduku na Mwakinyo au Dulla na Mwakinyo ndio njia ya kuwapaisha hawa.
Mwakinyo alipigana na nani hapa ndani akafika huko alipo? hakuna!! Timu yake ilimpambania akapata mapambano ya kueleweka huko Kimataifa na Mungu akamsaidia (Hivyo hivyo na uwezo wake mdogo mdogo mnaousema) akafanikiwa na ameendelea kufanikiwa na kujenga brand yake.
Sasa tukitaka kumsaidia Twaha kwanza tuachane ndoto za kumpambanisha mapambano ya ‘Ndondo’ au ili atoke lazima apambane na Mwakinyo.
Ni muhimu kuwa na focus ya kuwatemgeneza mabondia kwenda rank za juu. Sio tunatengeneza halafu tunataka wapambane ili kuwashusha rank zao wenye.
Twaha na Dulla watafutiwe mapambano na mabondia wengine huko nje wenye viwango watakaowafanye wapande viwango.
Itapendeza kuona tuna mabondia wengi wenye rank za juu
Katika sheria za ngumi watu watatu wanaweza kusimamisha pambano - Referee, Corner man au Boxer mwenyewe.Huwezi sema alistahili kushinda wakati refa kamaliza mchezo kijanja boxing hua ina badilika who knows huyo jamaa ange change mbinu rounds za mbele refer game ya Tony na Msauth kifupi ni kwamba Mwakinyo amepewa ushindi na NEC
Hata Mimi piaMimi mmoja wa hao watu
Mwakinyo anapiga kwa BluetoothJana nmeona ngumi za wireless
Bongani noma sana, ile pumzi ya haireman nimeikubali.Bongani ndio kapamba shoo
Hongera kwake
Jambo moja niliokuwa na uhakika nalo ni kuwa mwakinyo angeshinda lile pambano la jana kwasababu tangu mwanzoni alionekana kumzidi mpinzani wake, refa aliwahisha kumaliza lile pambano.Pambana la jana Mwakinyo alistahili kushinda, ila tatizo refa kawaisha kumpa ushindi mwakinyo. Ukiangalia kwa makini zile ngumi zilikuwa zinamkosa kosa jamaa yule, refa hakustahili kumaliza pambano mdaa ule.
Tunaipenda Tanzania yetu na wanamichezo wetu ila ili kuwajenga ni lazima maamuzi yakawa ya haki, pia inawezekana refa hakuona vizuri ngumi za Mwakinyo zikipita hewani
Mimi nimeeka link nzima uangalie mwenyewe, hio screenshot ni kipande tu.Chief-Mkwawa njoo hapa, tunapokwambia kuwa mapromoter wenu ni janjajanja uwe unaelewa.