Mwakinyo amshinda Mnamibia, Tony Rashid apoteza mkanda kwa Msauzi

Mwakinyo amshinda Mnamibia, Tony Rashid apoteza mkanda kwa Msauzi

Huyo naye amekuwa akikutana na mabondia wachovu tu tena wanywa gongo sasa unashindwaje kwa mfano
 
nmecheka jamaa anapoambiwa imekuwaje amepigwa kirahisi anakwambia mimi mwenyewe sielewi ila ntareview video nione ilikjwaje
Yupo sahihi maana bado alikuwa na nadasi ya kucheza pale refa aliposimamisha zile.ngumi.zilimkosa alizikwepa na alikuwa.ameshatoka alitaka aanze naye kushambulia
 
Ndio maana akiambiwa apambane hata pambano lisilo la mkanda na kiduku anakuwa mkali,kumbe anajua anakutanishwa na walevi wa komoni
Sure refa kazingua,why amalize mapema..hakuna ngumi za maana zilizompata mnamibia...aendelee kubebwa,wakienda nje wanapigwa.
 
Mwakinyo aendelee kupigania hapa hapa nyumbani chini ya Marefa wakina Mlundwa na wenzake la sivyo akitoka nje tutamsahau.
 
Sure refa kazingua,why amalize mapema..hakuna ngumi za maana zilizompata mnamibia...aendelee kubebwa,wakienda nje wanapigwa.
Nje ana rekodi nzuri tu,sasa nashangaa,sijui ana zali la kukutanishwa na walevi pia,jamaa ngumi zake hazina nzoso kabisa hadi unashangaa anashindajeshindaje
 
Mechi ya Mwakinyo, Refa kafanya ujanja ujanja mwingi......japo kuwa Mwakinyo angeshinda kwa aina ya Bondia ila Refa kauza mechi
 
Japo Mwakinyo alikuwa na asilimia nyingi za kushinda.
Referee amecheza kwa kuamua wakati mpinzani alikuwa na nafasi ya kuendelea.


Lkn Mwakinyo hawezi kucheza na Twaha Kiduku a.k.a sho shoo.
Twaha ni boya labda bhangili ndizo zinataka
 
Mwakinyo kasawazisha makosa ya Tony. Mabondia waliopambana nao( yule M South aliyepigana na Tony na huyu Mnamibia) ni mabondia wenye kiwango kizuri sana

Ushindi wa Mwakinyo unasaidia kuleta hamasa kwenye ndondi mchezo ambao unazidi kupata umaarufu na kupendwa na idadi kubwa ya Watanzania
 
Back
Top Bottom