escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Mmh huyu mlevi wa wap tena jaman?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajuta na roho yako mbayaAnaletewa wauza utumbo huyo,,, ngoja tutukanwe sasa
We si wa mwakizaro au makorora ndo manaUtajuta na roho yako mbaya
Congratulations to him for retaining his title
Sawa sawa kabisa mkuu,,, ngoja mdigo aanze kunya shitiPambano limeisha kwa ushindi wa TKO Hassan Mwakinyo akishinda round ya pili.
Nini nilichokiona. Indongo ni bondia wa uchochoroni tu. Hawa mapromota watuletee mabondia wanaoeleweka. Sio kama huýu toka namibia.
Kuna siku Classic alipewa bondia mlemavu kabisa. Mkono wake mmoja umepooza. Alitokea malawi.
Kama hawawezi kuleta mabondia basi wawapeleke wakapambane na mabondia sio hawa njaa.
Sijui ni nani tu ambaye huwa anwajibika kutafuta hawa opponents.Pambano limeisha kwa ushindi wa TKO Hassan Mwakinyo akishinda round ya pili.
Nini nilichokiona. Indongo ni bondia wa uchochoroni tu. Hawa mapromota watuletee mabondia wanaoeleweka. Sio kama huýu toka namibia.
Kuna siku Classic alipewa bondia mlemavu kabisa. Mkono wake mmoja umepooza. Alitokea malawi.
Kama hawawezi kuleta mabondia basi wawapeleke wakapambane na mabondia sio hawa njaa.
Promota yeye, bondia yeye.Pambano limeisha kwa ushindi wa TKO Hassan Mwakinyo akishinda round ya pili.
Nini nilichokiona. Indongo ni bondia wa uchochoroni tu. Hawa mapromota watuletee mabondia wanaoeleweka. Sio kama huýu toka namibia.
Kuna siku Classic alipewa bondia mlemavu kabisa. Mkono wake mmoja umepooza. Alitokea malawi.
Kama hawawezi kuleta mabondia basi wawapeleke wakapambane na mabondia sio hawa njaa.
Umri wake mwenyewe miaka 38.Huyu bondia kweli jamani?
Kuna lile pambano moja tu na alidundwa ila wakamtangaza yeye mshindi mpaka akamtukana Rashidi matumla , lile tu mengine yote analetewa waleviHivi ni nani ambaye huwa anwajibika kutafuta hawa opponents? Sijawahi kuona mtanange wa kukata na shoka kutoka kwa huyu jamaa always kuna kumwaga na slope, Sasa kama huyo jamaa si mzee kabisa?
Chuki inatusumbua wabongoUmri wake mwenyewe miaka 38.
Itakuwa kama sio wa mwakidila wewe basi mwahako,,, mdigo mzigoUchawi sio kuwanga usiku.Uchawi pia namna tulivyo.
Ah wapi,, mwakinyo anachezea kwa kidukuTukiacha unafki, mwakinyo ni bora kwa bongo hii ( Zingatia hapa kwa bongo hii).
Ni chuki zetu tu, sababu ya maneno yake lakini hawa kina kiduku hata wakishusha weight atawadunda tu.